Chassarsenal
Member
- Apr 14, 2012
- 91
- 3
Domo km mamba, angal mwili una mabaka km chura. Vp unatak lingine hebu chek chunus km ganda la fenesi.
Ulizaliwa sokoni ukafunikwa na maganda ya kabeji
nini wewe domo ka bikini ya mbu
unapenda mtoko kama jk....
Siku zote jitahidini kufuata instruction....... wewe uliyefungua thred hiii
" Mashavu ka sidiria!!!!"
umezoea kuedesha bodaboda mpaka ukiwa kwenye gari ukifikia kona unatoa mguu njee
nini wewe ulimi ka mwiko wa mama ntilie