Jhung tiao
Member
- Mar 27, 2012
- 82
- 15
Kichwa ka fuvu la zinjathropus
Kichwa ka fuvu la zinjathropus
Sura ka unakula mshikaki wa moto.
Midomo kama kibonde
Sura kama umepiga bao
Pua kama buno la kozi la mnazi. Domo kama pakacha. Miguu kama Fidodido.
uso ka kwapa la bi kidude,,
Juzi walitangaza tsumani kumbe ulikuwa umejamba,,,,kwapa lako linanuka ka choo cha stendi
Lione linene kiasi kwamba ukigeuka upande mwingine unaimbiwa happy birthday,,,,kwapa lako linanuka ka choo cha stendi
Lione linene kiasi kwamba ukigeuka upande mwingine unaimbiwa happy birthday,,,,