Kaka kushoto kuna ukuta so i couldn't pita upande huo
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........
Mikwara mingine bana kama ya Kaboka mchizi!Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........
Aseee!
Duh!
M very sure we ni mnywaji mzuri sana wa hiyo pombe maana umetoa maelezo ya kina kwelikule Himo Moshi kuna pombe inaitwa mbundimbundi , ukinywa inaganda tumboni kama lami halafu unakosa hamu ya kitu chochote
hii thread ina harufy ya mbundimbundi