................Usifungue kusoma kama uhusiki......

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........
 
Hahahahaaa nilitaka tuondoe stress za kazi bhana sa tukiwa tunachangia mitopic mizito kila siku tutazeeka mapema
 
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........
Mikwara mingine bana kama ya Kaboka mchizi!
 
kule Himo Moshi kuna pombe inaitwa mbundimbundi , ukinywa inaganda tumboni kama lami halafu unakosa hamu ya kitu chochote

hii thread ina harufy ya mbundimbundi
 
kule Himo Moshi kuna pombe inaitwa mbundimbundi , ukinywa inaganda tumboni kama lami halafu unakosa hamu ya kitu chochote

hii thread ina harufy ya mbundimbundi
M very sure we ni mnywaji mzuri sana wa hiyo pombe maana umetoa maelezo ya kina kweli
 
Back
Top Bottom