matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,719
- 15,697
1; Waliochezea nafasi za ndoa na sasa wakati umepita nawamekata tamaa.
2: Wanaotumia muda mwingi kusoma na kufuatilia mambo hasi kuhusu ndoa. Kwa hiyo wanadistorted view kuhusu ndoa. Akili zao ndio zina matatizo sio ndoa.
3: Walioathiliwa na vuguvugu la upinde wa mvua duniani. Vuguvugu hili limejielekeza kufuta hamu ya ndoa na kuleta gender confusion katika akili za vijana wasiojitambua.
4: Wanandoa walioachika au kuachana kwa sababu za kujitakia, au kusalitiwa. Sasa uzoefu wao binafsi wanataka kuuhamishia kwa dunia nzima.
Vijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu, utagundua ni mapepo tu ndio yako nyuma ya sauti na maandishi unayosikia yakipinga ndoa.