Usifuate mkumbo, zifuatazo ni baadhi ya sifa za wanaopinga ndoa

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,653
15,480
1; Waliochezea nafasi za ndoa na sasa wakati umepita nawamekata tamaa.

2: Wanaotumia muda mwingi kusoma na kufuatilia mambo hasi kuhusu ndoa. Kwa hiyo wanadistorted view kuhusu ndoa. Akili zao ndio zina matatizo sio ndoa.

3: Walioathiliwa na vuguvugu la upinde wa mvua duniani. Vuguvugu hili limejielekeza kufuta hamu ya ndoa na kuleta gender confusion katika akili za vijana wasiojitambua.

4: Wanandoa walioachika au kuachana kwa sababu za kujitakia, au kusalitiwa. Sasa uzoefu wao binafsi wanataka kuuhamishia kwa dunia nzima.

Vijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu, utagundua ni mapepo tu ndio yako nyuma ya sauti na maandishi unayosikia yakipinga ndoa.
 
Ndoa ni nzuri haina tabu yeyote na ni kitu cha heshima pia, ukikosea kupata mwenza na kupitia magumu haina maana kuwa ndivyo mambo yalivyo...achana nae tatuta mwengine.

Binafsi nilishapitia kimbembe cha mke jeuri na anajibu chochote mahali popote bila kujali aibu wala fedheha, nikatumia nguvu kumkanda haikusaidia akishika kisu ujue anakileta kweli na hata umpige vipi bado anakuja na matusi ndio kwao.

Hajirekebishi na harekebishiki sio kwangu wala kwa wazazi wake na ukimuandikia talaka anaichana na haondoki

Yalipita na nikapata mke ambae hata ukikihoa tu anakuuliza 'mume wangu unaniita?'
Safi kila kitu na kama mahali nimekosea ni mpaka nijipime mwenyewe na kugundua kosa langu, vinginevyo bado sitalalamikiwa wala kunununiwa zaidi ya kuongezewa upendo.

Msiogope ndoa jamani...ila ujinga kupita kiwango pia msiukubali.
 
4 nadhani
 
Ni sawa na wangu. Kwa kweli huwa namshukuru Mungu kwa ajili ya kunipa mke mwema na mzuri mama manka wangu maana ningeokota yule Mmeru, maji ningeita mma.

Ndio ni njema na kitu kizuri Cha kupendeza, changamoto ni kuangakia makalio ya mwanamke ndio umuoe na sio kumtanguliza Mungu kwenye ndoa.
 
Kama ndoa ni tamu acheni ndoa zijitee zenyewe ,kwa nini mnaweweseka kuleni bata , mtu akisema pesa ni mbaya kisa ww unazo , utapinga na kumtukana ?
 
Kupanga ni kuchagua and vice versa,, hoja hazina ushawishi, vijana tutaoa naomba kuwatoa wasi wasi.
 
1; Waliochezea nafasi za ndoa na sasa wakati umepita nawamekata tamaa.

2: Wanaotumia muda mwingi kusoma na kufuatilia mambo hasi kuhusu ndoa. Kwa hiyo wanadistorted view kuhusu ndoa. Akili zao ndio zina matatizo sio ndoa.

3: Walioathiliwa na vuguvugu la upinde wa mvua duniani. Vuguvugu hili limejielekeza kufuta hamu ya ndoa na kuleta gender confusion katika akili za vijana wasiojitambua.

4: Wanandoa walioachika au kuachana kwa sababu za kujitakia, au kusalitiwa. Sasa uzoefu wao binafsi wanataka kuuhamishia kwa dunia nzima.

Vijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu, utagundua ni mapepo tu ndio yako nyuma ya sauti na maandishi unayosikia yakipinga ndoa.
Ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom