Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

kibonde alishabondeka kitambo
watu wasio na misimamo na wanaouza tasnia yao kwa njaa zao hawana hadhi.
ameshakuwa mshabiki wa chama huku akijua mwandishi mzuri hapaswi kuwa biased.
Kumtaja Kibonde na Kikeke ni sawa na mlima na kichuguu

Hakuna hata mmoja aliemtaja Kibonde.!!
 
poa mkuu, ila mwambia , kama baba alinza from scratch to standard 1, mwana anatakiwa aanzie std 1 to above, then mjukuu above to more above, kinyume chake ni uthibitisho wa kizazi kutokutimiza wajibu. i hope atakuwa anafanya vyema zaidi ya hivyo,ila iwe changamoto

Kaka nadhani hukuwahi kusikiliza mpira wa akina Ahmed Jongo, OmarJongo, Charles Hillary, Dominic Chilambo na wengine. Acha kabisa, Kikeke anajaribu ndugu
 
Samahani, nakiri simu yangu inakosa vitendea kazi vya kutosha hadi nikajibu muungwana asiye. Nisamehe nililenga mwingine aliyesema kikeke anamfurahisha kwenye kutangaza mpira na kujiona kama naye yupo uwanjani. Samahani tena
 
Gud for you guy..! N best of luck on your way up.remember no easy mountain to climb
 
Leo hii mtu anaweza akakata tamaa lakini jamaa amesoma course ambayo sio popular "Stashahada ya Umwagiliaji katika Chuo cha Kilimo Nyegezi, Mwanza" lakini amepigana kweli. Kweli maisha hayana formula.

Ninazidi kuichukia CCM
 
Hivi ni kipi kinachotufanya tufikiri jamaa ni Mkenya?? Je ni kwa sababu tunahisi Mtanzania hawezi kuwa na umahiri huo au? Kama ni hivyo, inabidi tubadili mtazamo na kujua kuwa hata mtz anaweza fanya mambo makubwa tu.

Usishangae kwanini hawaamini kuwa huyu jamaa ni Mtanzania ni kwasababu wabongo wengi wako half cooked kuanzia shuleni mpaka kwenye vyuo vya elimu ya juu.kuna ubabaishaji mwingi sana. darasa la chuo unakuta wanfunzi ewamejaa utadhani mkutano wa hadhara,hapo kuna training kweli? wengi wanatoka kama walivyoingia.unaweza kuamini graduate anamaliza hata kutumia computer hajui karne hii?
 
Usishangae kwanini hawaamini kuwa huyu jamaa ni Mtanzania ni kwasababu wabongo wengi wako half cooked kuanzia shuleni mpaka kwenye vyuo vya elimu ya juu.kuna ubabaishaji mwingi sana. darasa la chuo unakuta wanfunzi ewamejaa utadhani mkutano wa hadhara,hapo kuna training kweli? wengi wanatoka kama walivyoingia.unaweza kuamini graduate anamaliza hata kutumia computer hajui karne hii?

Nakubaliana na wewe mkuu!
 
Funzo kubwa, hakuna kukata tamaa, na kuna njia ndefu katika kufikia mafanikio.
 
Kikeke anasema ana mtoto mmoja ambaye yupo bongo, mbona hasemi kama kaoa au alipata mtoto tu? Najua aliwahi kuishi na mfanyakazi mwenzie kama mke na mme.

Anyway, namtakia mafanikio mema baadae arudi atumikie vyombo vyetu vya hapa kama wa RTD

kibaizi kiki Kwenye maonesho ya nane nane kuna Afisa habari mmoja wa banda linalohusu mambo ya Mifugo anaitwa Hawa Kikeke may be anaweza kuwa ndio mkewe! si unajua tena, Polisi huoa polisi mwenzie! na yeye inawezekana amefanya the same.
 
Nimejifunza kitu kutokanana historia ya kikeke kuwa tusikate tama hata mara moja na kujitolea ni siri kubwa sana ya kufungua ukurasa katika ajira hivyo kuna haja ya kujifunza na kufuata nyayo za kikeke.
 
Hapana, huyo Hawa Kikeke sio mke wa Salim, huenda ni majina tu wame share. Aliyekuwa mkewe keshatajwa huko awali kuwa ni mfanyakazi wa kampuni ya simu na ndo mama mzazi wa mtoto wa Salim.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom