Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,552
- 31,596
Mkuu hii thread ni mwaka wa kumi sasa ili andikwa 2013 mpaka leo atakuwa huyo mtoto alisha hamishwa kitambo sanaKwa iyo kusoma katika magumashi ni uzalendo dah [emoji22]
Mkuu hii thread ni mwaka wa kumi sasa ili andikwa 2013 mpaka leo atakuwa huyo mtoto alisha hamishwa kitambo sanaKwa iyo kusoma katika magumashi ni uzalendo dah [emoji22]
Biko piaKuna Salim kikeke,vicent makori,abdulshakur abood wa dw hawa jamaa utawapenda wakiwa wanasoma habari,
Mtoto anasewa akasoma hapa hapa na akawa anasoma shule Bora sanaKwa iyo kusoma katika magumashi ni uzalendo dah [emoji22]
Sukuma halisiJamaa namkubali sana mi nilijua ni mkenya kumbe bongoman, halafu jamaa ni mzalendo yaani mtoto wake anasoma Tanzania kwenye elimu magumashi.
Waafrika na kuzaaa Kama kufuga ng'ombe tuuuu. Hajui watakulaje anachojua kuingiza mashine na kufyatua panya roadAache uvivu aongeze mtoto kwa umri wake