Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

Huwa anafanya kile wateja wke wanataka, sio yeye anataka.
 
Sam Mahela wa ITV anakoenda atakua na uwezo mkubwa pia!

Pia Jerry, Jerry Muro alikuwa anakuja vizuri kama mwandishi mchokonozi wa mambo. Siku hizi sijui kapotelea wapi.
 
Sam halela itv
Hemed kivuho itv
Tom chilala star tv
My best amongst d local 1ns
 
Mimi pia nilidhani ni mkenya, kumbe mbongo kabisaa! Ana nyota ya kukubalika kwa sasa.

Hata mie nilijua ni mkenya aisee...ila huyu jamaa na yule wa sauti ya America "Vincent Makori" kama sijakosea nawakubali sana

Jamaa amepiga sana kazi nchini inaelekea enzi hizo mlikuwa madogo ikifika muda wa taarifa ya habari mnaweka music au mambo ya shule kubana
 
Jamaa namkubali sana mi nilijua ni mkenya kumbe bongoman, halafu jamaa ni mzalendo yaani mtoto wake anasoma Tanzania kwenye elimu magumashi.

hapo pekundu huo sio uzalendo ni laana na ujinga,

ila napenda kazi yake yuke vizuri Mungu ambariki aache kutesa watoto kwenye shule za kidumu cha maji na ufagio
ila kama hawasomi st kayumba sina ugomvi naye
 
Kweli mkuu. Wakati wa Vita na Idd Amin Tanzania ilikuwa na Brigadier mmoja anaitwa Brig Walden. Alikuwa chotara kidogo na mn'gavu wa ngozi. Kwenye mbinu za medani alikuwa mkali kwelikweli. Amini hakuamini kama yule ni mtanzania na akaanza sema jeshi letu linasaidiwa na Cuba! Hakuamini askari mtz anaweza pambana kiasi kile.

Hivi ni kipi kinachotufanya tufikiri jamaa ni Mkenya?? Je ni kwa sababu tunahisi Mtanzania hawezi kuwa na umahiri huo au? Kama ni hivyo, inabidi tubadili mtazamo na kujua kuwa hata mtz anaweza fanya mambo makubwa tu.
 
Duuh hizi St. Kayumba nadhani tumezikatia tamaa wananchi kiasi kwamba hatuna imani kama zitabadilika na kuwa kama zamani mpaka watoto wa mawaziri wanasoma.

hapo pekundu huo sio uzalendo ni laana na ujinga,

ila napenda kazi yake yuke vizuri Mungu ambariki aache kutesa watoto kwenye shule za kidumu cha maji na ufagio
ila kama hawasomi st kayumba sina ugomvi naye
 
hapo pekundu huo sio uzalendo ni laana na ujinga,

ila napenda kazi yake yuke vizuri Mungu ambariki aache kutesa watoto kwenye shule za kidumu cha maji na ufagio
ila kama hawasomi st kayumba sina ugomvi naye

Mkuu bado natafakari hapo pekundu. Unamaanisha ameeamua kumzika kielimu kabisa mwanae? Nadhani itabidi nimtweet kubadilishana naye mawazo kujua mwanae anasoma wapi na ni kwa nini familia ipo bongo na yeye pekee London.
 
Jamaa namkubali sana mi nilijua ni mkenya kumbe bongoman, halafu jamaa ni mzalendo yaani mtoto wake anasoma Tanzania kwenye elimu magumashi.

Mkuu kusomesha mtoto kwenye elimu duni kisa ni nyumbani ndo uzalendo? lakini pia hajataja ni shule gani hapa bongo, sio zote ni st. Kayumba..
 
Kikeke anasema ana mtoto mmoja ambaye yupo bongo, mbona hasemi kama kaoa au alipata mtoto tu? Najua aliwahi kuishi na mfanyakazi mwenzie kama mke na mme.

Anyway, namtakia mafanikio mema baadae arudi atumikie vyombo vyetu vya hapa kama wa RTD
 
Back
Top Bottom