Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
Halafu Vicent Makori ni mzaliwa wa wilaya ya Magu mkoan mwanza
teh teh
teh teh
Kikeke anasema ana mtoto mmoja ambaye yupo bongo, mbona hasemi kama kaoa au alipata mtoto tu? Najua aliwahi kuishi na mfanyakazi mwenzie kama mke na mme.
Anyway, namtakia mafanikio mema baadae arudi atumikie vyombo vyetu vya hapa kama wa RTD
Mkuu bado natafakari hapo pekundu. Unamaanisha ameeamua kumzika kielimu kabisa mwanae? Nadhani itabidi nimtweet kubadilishana naye mawazo kujua mwanae anasoma wapi na ni kwa nini familia ipo bongo na yeye pekee London.
Jamaa ni jembe katika kazi yake hasa akiwa na Charles Hillary, historia yake inasisimua na ni fundisho tosha.
Halafu Vicent Makori ni mzaliwa wa wilaya ya Magu mkoan mwanza
teh teh
Kwa akili na nidhamu ya Salim Kikeke ni haki yake kufika huko aliko.Hawa kina Kibonde wataishia kuvaa suti nyeupe Upanga!
leo hii mtu anaweza akakata tamaa lakini jamaa amesoma course ambayo sio popular "stashahada ya umwagiliaji katika chuo cha kilimo nyegezi, mwanza" lakini amepigana kweli. Kweli maisha hayana formula.
Huyu na Vicent Makori nawakubali sana. Ila tusiwe na kasumba kwamba mtu akiwa smart kwenye kazi basi ni mkenya. Wabongo wapo kibao wanafanya kazi very smart. Rafiki yangu ni injinia na ni mtanzania. Yupo Marekani kwenye kampuni kubwa na anawaongoza wazungu kibao chini yake.
Mkuu hapo kwenye red, hili halikwepeki sijui nani alituharibia nchi yetu mpaka kufikia hatua ya kujishusha kiasi hicho!! Tuko wengi wenye mtazamo huo kuwa wa-Kenya wako juu yetu, kumbe hakuna kitu na sisi tuko juu bwana!! Ila ukweli hata mimi nilikuwa najua Salim Kikeke ni Mkenya. Kumbe ni jamaa yetu?? Hongera Salim Kikeke unatubeba kwa kweli (Big up) endelea kukandamiza baba. Sasa hivi hata watoto wangu wanakaa kusubiria ile "Dira ya Dunia" Star TV ile saa 3 usiku, wakitarajia kumwona Salim Kikeke na mbwembwe zake katika utangazaji.
Jamaa namkubali sana mi nilijua ni mkenya kumbe bongoman, halafu jamaa ni mzalendo yaani mtoto wake anasoma Tanzania kwenye elimu magumashi.
nampenda sana hyu mtu...
Historia yake ina vitu vya kujifunza.
Mungu amubariki sana mzalendo huyu
Mimi ni Kikeke, Salim Kikeke, Alamsiki.