Neno moja lingetosha kunijibu kuliko hili shairi lako ambalo bado lipo nusu.!wewe sio mkabila , ila sema tu inaonekana unataka kufagilia kabila lake labda mnashea kabila.
Neno moja lingetosha kunijibu kuliko hili shairi lako ambalo bado lipo nusu.!wewe sio mkabila , ila sema tu inaonekana unataka kufagilia kabila lake labda mnashea kabila.
Unamaanisha Ester Gidhui au?
Sam Mahela wa ITV anakoenda atakua na uwezo mkubwa pia!
Tunaweza sana, hivi unadhani ni mtangazaji gani hapa bongo kwa sasa anaweza kuwa na umahiri kama Salim?
Na yule mwingine reporter wa Tv toka tarime anayevuta maneno akimalizia kusema "Wa ITViiiiiiiiiii.."
mimi nilidhani ni mkenya kwa sababu ya lafudhi yake ya kiswahili.
Umeona eenh, jamaa Jasiri sana yule!
All In All ITV/Redio One imetoa watangazaji mahiri sana vijana ambao wameenda kufanikiwa katika maisha au kazi walizonazo kwa sasa. Sunday Shomary, Flora Nducha, Mike Mhagama, Misanya Bingi, Charles Hilary, Aboubakar Liongo(mahiri sana) Suzan Mungi, Sudi Mnete, Rukia Mtingwa, tajeni wengine! Idd Ligongo!
Heshima sana kwako Salim Kikeke
kibonde, diva
[h=1]Kisa na Mkasa na salim Kikeke[/h]Bwana mmoja nchini Zimbabwe amedai kuwa kahaba aliyekuwa akifanya naye mapenzi amegeuka ghafla na kuwa punda.
Bwana huyo, Sunday Moyo ambaye amefikishwa mahakamani siku ya Jumatatu kwa kosa na kukutwa akifanya mapenzi na mnyama huyo amesema anampenda sana mpenzi wake huyo. Bwana Moyo aliiambia mahakama mjini Zvishavane kuwa huyo waliyemkuta naye sio punda bali ni mwanamke ambaye alikutana naye katika klabu ya usiku ya starehe
Nawapatia picha zake kidogo.
M mwenyewe nataman kujui sana ilo sualaMbona hasemi kwa nini hataki kuwa na mke au na yeye Libelari?