kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
hata kitenge nae anaelekea huko
Kitenge mbona role model wake ni aboubakar lyongo. Alimuiga kila kitu ila sasa ana identity yake ambayo akitangaza kila mtu anajua huyu ni kitenge na sio lyongo. Ni masuala ya muda tu role mode kuigwa ni kitu cha kawaida