Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

Hivi nawaza nini?
Kusoma hii thread tu kumenichanga,
i don't know what am thinking exactly!
 
wangepitiwa nakwambia hao akina wema, nancy sumari ect

Hapa unanitafutia case kwa twin wangu... CASE CLOSED....

trust me wifi yangu, none of those. and i guess u will never guess. since kesho hii request ya kutokuchakachua itakuwa haipo, naahidi kuchakachua,lol! ngoja nikimbie b4 hujanibananisha kwenye kona!


Wifi kweli you are a nasty nasty nasty gal gone bad!....lol
 
Nafikiria nifanye nini kesho.Nipumzike nyumbani with a good book and my phone turned off au nifuatilie kitu ambacho nakihitaji next week.


Tuko pamoja.... leo nimetumiwa kitambu nimetafuta for 5 years... so so happy... 'Fools Die' - Mario Puzo
 
Hili Gozi langu halichelewi, safari zake za haraka haraka, alikuwepo leo asubuhi kanipigia simu anasafiri, ndio zake. Ji handsome langu, nikubandikie picha yake hapa? Wengi watalia nikiiweka! lol.



Tafadhali.... tafadhali... tafadhali.... Bandika.....lol
 
ha ha ha.... AD dear... wewe sio wa kwanza...
hizi kauli zinanifurahisha kweli... naona kweli
wengi wanayabania... nipe hints basi...
nakupa multiple choice ifuatayo;

I will narrow it down for you

  1. Sex related
  2. Anger related
  3. Name calling related
  4. No Guts related.

mmmhh
hata kwenye hiyo list haiko..
tuache tu kama ilivyo....
 
Hivi nawaza nini?
Kusoma hii thread tu kumenichanga,
i don't know what am thinking exactly!


ooh! you are thinking what to think.... mmmh!... ila Pretty ukifikiria come back!!! lol
 
Tafadhali.... tafadhali... tafadhali.... Bandika.....lol

The perfect husband:
2574005432_b6c46edd8a.jpg

 
Which sector? Specify please.


Acha kunitega bana... mvuto wa kumuona kwa mbali for a man his age...
ingawa kwangu napenda awe younger than him of coz... lol
 
Hivi nawaza nini?
Kusoma hii thread tu kumenichanga,
i don't know what am thinking exactly!

That in itself is thinking. Halafu Da Pretty hujatu upadate na zile issue zako mbili.
 
Acha kunitega bana... mvuto wa kumuona kwa mbali for a man his age...
ingawa kwangu napenda awe younger than him of coz... lol

Mie nakuomba tuu mchuzi, huna haja ya kunipa ubawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom