Usichague mwanamke kutokana na mavazi

Usichague mwanamke kutokana na mavazi

Bandallah
Mkuu, tunatofautiana experience na preferences katika masuala ya kuchagua wanawake. Brand New unamaanisha nini?. Unavyowaita used binadamu walioumbwa na Mungu utadhani wewe ushawahi kuumba hata Mbu, kumbuka hao ndo Mama na Bibi zetu, dada zetu, shangazi zetu na Mama zetu wadogo!!
 
Last edited by a moderator:
majorbuyoya
Ok lemme explain demu yoyote alokuwa si bikra kabla ya ndoa ni used naamaaniisha kashatumika.
 
Last edited by a moderator:
Bandallah
Mkuu, maneno yako yanaweza kunifanya nikadirie umri wako kabla ya kukuona. Hivi kuna wanaume (sio vivulana) ambao wanawaza bikra hadi miaka hii?. Nahisi kama vile watu au watoto wasiojua mapenzi ya kweli ndo mawazo yao yapo zaidi kwenye bikra.

Hongera kaka, endelea kutafuta hizo bikra, wengine tumeshapita nyakati hizo.
 
Last edited by a moderator:
Kubali au kataa ukiolewa lazima ubadilishe aina ya mavazi unayovaa..
 
Utingo

Ongelea waoaji na waolewaji wa sasa!!!! mifano ya wazazi wa mtu ktk hili si busara mkuu wazazi walikuwa na enzi zao zimepita! tunaenz zetu nazo zitapita.
 
Last edited by a moderator:
majorbuyoya
Mkuu unapata shida tu kwa huyo mtu ye mwenyewe used! anataka original apate wapi hata vitabu vya Mungu vimeandika nitakupa wa kufanana naye anashinda anafunua sket anatefemea kupata ambaye hajawahi funuliwa!
 
Last edited by a moderator:
Usipende kula makombo... tafuta brand new .. simu tutumie used,spear used,magari used,nguo used..hadi mademu jamany??

huyo demu orijino utamtoa wapi kizazi hiki?
 
Bandallah

Usijekuwa unamaanisha wale wanaotumika nyuma halafu mbele wanasubiri ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Bandallah

Kwahiyo mi navaa kipedo ili niwavutie watu?Nitaacha pedo siku nikiota mvi sio kwa ajili ya kuolewa.
 
Last edited by a moderator:
Bandallah

Nina mume wala sitegemei kuna siku atanambia niache kuvaa vazi flani hasa hasa huwa naona namboa nikivaa dira ila nikivaa vimini juu ya goti roho yake kwatu.
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt
Sawa kumvalia vipedo mmeo ndani kwako sio mbaya inaimarisha mapenzi yenu lakn kutoka hadi nje/mtaani navyo ni dhambi cause unawatamanisha wale wasiokuwa na mke.
 
Last edited by a moderator:
HALELUYA MOSHI
Wewe ni wa ajabu sana.Kwani hata wazazi enzi zao hakukuwa tabia za kishenzi kishenzi kwa vijana? waulize watakusimulia (ndiyo sababu ya kuwepo jando na unyago)

Walifundishwa kuacha upuuzi unaoutetea ndiyo sababu ndoa zao ziidumuU,hata leo wnakuwa na hekima huacha tabia za kipuuzi unazozitete na ndoa zao zinadumu kuoa au kuoa maana yake ni giving some life style and gaining another life style. If you can not do that, usioe au kuolewa. Period!

Ikiwa mtu anataka kuoa au kuolewa kisha asibadili style ya maisha na mienendo yake huyo hajui maana ya ndoa na ni uendawazimu ni bora asiingie kwenye ndoa. Na hicho ndicho chanzo cha migogoro mingi katika ndoa.

Kumbuka: marriage is giving up something for your partner (wife or husband).Lakini unaonekana hujui maana halisi ya ndoa. watafute wazee wakufundishe.
 
Last edited by a moderator:
Utingo,

Umepaniki brazaaaaa! yamekujuta nini? umeenda mbaaaaaal tofaut na ninachoomaanisha mimi! pole lakn ndo ukubwa! umenifanya nicheke sana!!!

Unampanikia mtu humuoni na humjui anafafanaje!

Gud day mkuu, punguza presha.
 
Last edited by a moderator:
Bandallah
Acha tu watamamani, kutamani ndo necha ya binadamu hata wanaovaa ninja wanawatamani tu.
 
Last edited by a moderator:
Bandallah
Msitutishe na michepuko kwani mkiweza ninyi mna nini na sisi tushindwe tuna nini8 chepuka tuchepuke!

ha ha ha i guess mwanaume akisikia hili neno huwa anatamani afate nyuma nyuma kulinda kama COMRADE KIPEPE na SUNGURA vile
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt
Sawa kumvalia vipedo mmeo ndani kwako sio mbaya inaimarisha mapenzi yenu lakn kutoka hadi nje/mtaani navyo ni dhambi cause unawatamanisha wale wasiokuwa na mke.

kwann atamani ilihali anajua kutamani ni dhambi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom