Unakutana na binti kavaa suruali yake au vazi lolote zuri kapendeza unampenda hatimae mnaazisha uhusiano mpaka ndoa.
Ukishamtia mikononi mwako unamzuia mavazi fulani kuvaa ikiwemo yale uliyomkuta kayavaa kwa mara ya kwanza mlipokutana tabia ya mtu sio mavazi.
Kuna watu wanajifunika mwili mzima ila wanafanya ufuska unakuta mtu anamzuia mwanamke kuvaa mavazi fulani.
Wakati huo huo anatongoza wanawake waliovaa mavazi hayo huu ni uoga na kutojiamini, tuwape wenzetu uhuru wa mavazi isipokuwa yasiwe ya kujidhalilisha tuache hii tabia ya kuwachagulia mavazi wanawake.