hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,683
- 27,603
Acha ubishi weweUnapotosha uma HIV wale virus hawaponi Kaka
Acha ubishi weweUnapotosha uma HIV wale virus hawaponi Kaka
[emoji109]Acha ubishi wewe
Yeah nilizaliwa 93 na mama yangu alikufa kwa HIV ila mimi nilisurvive naamini ni kudra za mwenyezi MUNGU tu maana ARV nimeanza kutumia mwaka janandugu positive is normal wewe ni inspiration kwa watu wengi, virusi vya ukimwi sio ishu tena siku hizi ukilinganisha na miaka ya 90s, tuwashukuru sana wanasayansi waliogundua namna ya kuvidhibiti
ila imnaonyesha wewe ulizaliwa 93, je ilikuaje kuishi na virusi wakati huo ambao elimu kuhusu ugonjwa huu, ARV hakuna na umasikini ulikuwa umetanda?
niambie, samahani sijapata muda wa kupitia uzi wote, mama yako alifariki mwaka gani na baba yako vipi nae?Yeah nilizaliwa 93 na mama yangu alikufa kwa HIV ila mimi nilisurvive naamini ni kudra za mwenyezi MUNGU tu maana ARV nimeanza kutumia mwaka jana
Siwezi kukupa majibu kwa sababu yawezekana watu wakanijua direct kama nitakupa majibu uliyoyatakaniambie, samahani sijapata muda wa kupitia uzi wote, mama yako alifariki mwaka gani na baba yako vipi nae?
na baada ya wazazi kufariki uliishije hadi ukabaki hai mpaka sasa huku wengine wakifariki?
Ahsante sana mkuu, ubarikiwe piaDaah,Mungu akubariki sana, katika thread ambazo nimezifuatilia hii ni the best ambayo inafundisha na sio zile za mizaha kama ya akina beira baby boy, Big Congratulations Mkuu
Yeah nimeanza kutumia mwaka jana mwezi wa tisaJe ulishaanza kutumia vidonge vya kufubaza virusi,
Mungu atakupigania na hata sasa amekushindia, miaka 24 na virusi mwilini si haba, Mungu ni mwema na usikate tamaa, just be normal in mind...Yeah nimeanza kutumia mwaka jana mwezi wa tisa
Ahsante mkuuHongera sana mkuu kwa kujitunza
Yeah naamini hivyo pia,vizazi vijavyo vitausikia ukimwi kama historia,maana hata ukoma umebaki historiaIla I hope siku si nyingi dawa ya Ukimwi itapatikana, maana historia ina tuambia hakuna ugonjwa ulioua kuliko ndui, lakini mwisho dawa ya chanjo imepatikana
Sure sure MkuuYeah naamini hivyo pia,vizazi vijavyo vitausikia ukimwi kama historia,maana hata ukoma umebaki historia
Yeah mkuu sijawahi kuwa na stress kuhusu ukimwiMungu atakupigania na hata sasa amekushindia, miaka 24 na virusi mwilini si haba, Mungu ni mwema na usikate tamaa, just be normal in mind...
Nawe pia mkuuBarikiwa sana mkuu......