USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Duuu siwezi kupita hivhivi,Mungu akutangulie katika mipango yako yote mkuu
 
Nasoma huku nasisimkwa kwa sbb una ujasiri wa hali ya juu. Hongera sana mdogo wangu Mungu akupe amani na faraja ya moyo wako. Na aje akujalie familia
 
Unawezaje wezaje kusavaivu kama mwanaume rijali??
Ukishajitambua hali yako,ukijikubali ukiacha zinaa,pia sijawahi kutumia kilevi chochote kile unachokijua wewe sio bangi mirungi wala pombe na kupata milo kamili ndio maana nimesurvive muda mrefu na ninaamini siku za miaka yangu ni zaidi ya 80
 
Usijali mkuu,sikuwahi kutumia Arv miaka ya nyuma,Arv nimeanza kutumia mwaka jana tena baada ya kulazimishwa sana na Daktari wangu ambaye ni rafiki yangu so kuanzia mwaka jana mwezi wa tisa ndio nimeanza kutumia ARV
Pole na hongera kwa kuwa muwazi,,napenda tu kufahamu sababu za huyo Dr.kukulazimisha uanze kutumia ARV ilhali mwenyewe unasema afya yako iko poa.?
 
Mungu azidi kukupa nguvu.Lakini "nyama ya kangaroo" unakula mara moja moja?Kuwa makini nayo,ukijisikia kuwa na hamu nayo hakikisha inapimwa TFDA kwani wanasema mtu aliyeathirika anaweza kupata virus vingine kwenye hiyo nyama(ikitokea nayo ikawa na virus) na kumletea madhara zaidi
kwani kangaroo nao wanaambukizwa HIV??
kivipi
 
[HASHTAG]#MUNGU[/HASHTAG] azidi kukupigania daima. hongera pia kwa ujasiri
 
Usijali mkuu,sikuwahi kutumia Arv miaka ya nyuma,Arv nimeanza kutumia mwaka jana tena baada ya kulazimishwa sana na Daktari wangu ambaye ni rafiki yangu so kuanzia mwaka jana mwezi wa tisa ndio nimeanza kutumia ARV
Kabla ya kuanza kutumia arv na baada ya kuanza kutumia arv, kuna badiliko lolote kwako?? Kiafya?? Kimwili?? Jinsi unavyojisikia??
 
Nakupa hongera sana kujikubali natamani marehemu dada angekuwepo na kusoma hapa.. Yeye alikufa kwa kukata tamaa kutokana na huu ugonjwa!
Daaah rest in peace to her, cha msingi ni kujikubali tu,harakati zimeanzia jamii forum ila nina mpango wa kuanza kuposti Facebook kisha Instagram na ikitokea sponsor wa kwenye Tv station pia nitafanya hadi kwenye tv pia
 
Kabla ya kuanza kutumia arv na baada ya kuanza kutumia arv, kuna badiliko lolote kwako?? Kiafya?? Kimwili?? Jinsi unavyojisikia??
Yeah hapo kabla nikikuwa na uwezo wa kukaa mchana bila kula au hata usiku kama kwa maamuzi yangu ila sasa siwezi kukaa bila kula mkuu
 
Back
Top Bottom