positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
- Thread starter
- #61
Amen mkuu,naamini ipo siku dawa itapatikanaHongera sana ndugu, naamin ipo siku utapima HIV hautakuwa nao Hao virus, utakuwa umepona dawa ya kwanza inatoka moyoni
Amen mkuu,naamini ipo siku dawa itapatikanaHongera sana ndugu, naamin ipo siku utapima HIV hautakuwa nao Hao virus, utakuwa umepona dawa ya kwanza inatoka moyoni
Sijawahi kuziniUshatembea na mademu wangapi mpk saiv?
Unaisha mkoa/wilaya gani?
Nimejiajiri,halafu pia nasoma chuo ila sitapenda kukitajaMkuu ni changamoto gani inazokumbana nazo kiujumla, pia unasoma/umeajiriwa/au umejiajiri.
Nimefungua account mpya mkuu,Huwa sijui namna ya kuchange name humu, naona yako inasoma positive is normal, naomba unielekeze mkuu na mm namna ya kuchange, niliombaga humu sikupata feedback ya kueleweka
Amekujibu mwingine siyo mtoa maadaUlisema mwenye maswali
Au ulimaanisha nini mkuu
Ahsante mkuuMkuu upo vizur sana, big up kwako
Nipo tayari mkuuHongera sana mkuu kwa kukubali hali hiyo.
Je kuna NGO yoyote inayohusu masuala ya HIV unafanya nayo kazi? Kama hapana. Utakua tayari kufanya kazi na NGO yoyote ili kuwapa moyo watu wengne wanaoishi na Ukimwi?
Mbona watu wapona tu kwa tiba zetu za miti yetu hii hii ya asili.Waathirika wote msikate tamaa na wala msihudhunike kila kitu kinatokea kwa sababu fulani
Sijaelewa swali lako mkuu,uliza kwa ufasaha nikuelewe nitakujibuPole mkuu. Nikuulize huwa unafanya matusi kwa kutumia advantage ya kutokufahamika?
Yeah kuna hali flani ilianza kujitokeza so akaona bora nianze kutumia Arv,na nilivyoanza kutumia hali ile ilipoteaNamini Mungu ni Mkubwa. Kwakweli ma Dr. nao wanapotoka. Kwa hakika wewe ungeendelea bila ARV na ungekuwa so smart kuliko hayo ma ARV's
Ushawahi kufanya tabia mbaya?Sijaelewa swali lako mkuu,uliza kwa ufasaha nikuelewe nitakujibu
Nimekujibu yote mkuu,sorry uliza tena hiyo part A nikujibu may be nilijisahauSwali langu umejibu part B bt A umekwepa