USHUHUDA: Kupitia nguvu ya " VISION BOARD" unaweza kuitwa mchawi ingawa sio mchawi.90% ya niliyo yaandika kwenye VISION BOARD yangu mwaka huu yamefa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Moderator naomba ttle iwe " yametimia" na sio " yamefaa" with much Thanks in advance.

Vision board ni nini?

Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako.


Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia michoro then utaiweka kwenye VISION BOARD yako au unaweza tu kuchukua picha ya Havard pekee ukaiweka hapo.

Una ndoto za kujenga nyumba unaweza kuchukua picha ya dream house yako. Una ndoto za kumiliki gari etc.

Vision board yako unaweza kuiweka ama kwenye chumba chako unacho lala ama ofisini kwako ama kwenye simu yako au vyote kwa pamoja ili mradi iwe kwenye sehemu ambayo utakuwa unaiona kila siku.

PIA KAMA UNA MADHABAHU YAKO BINAFSI BASI UNASHAURIWA KUIWEKA VISION BOARD YAKO KWENYE UKUTA WA KWENYE MADHABAHU YAKO ( VERY POWERFUL)

Kutazama VISION board yako kila siku, anasema Napoleon Hill itasaidia ku activate the part of ur subconscious mind that will attract what you have placed in ur vision board in to manifestation.


Napoleon Hill,kabla ya kuanza kuandika vitabu vyake alifanya mahojiano na matajiri wapatao 400 akiwemo Andrew Carnegie na kujifunza ama kugundua mambo ambayo matajiri wengi wanayajua kama ambavyo masikini wengi hawayajui.

Moja kati ya mambo ambayo matajiri wote wanafanya, anasema Napoleone Hill, ni kuweka mipango na ndoto zao kwenye VISION BOARD.

Tangu nifahamu siri ya nguvu ya vision board nimekuwa naitumia karibu katika kila jambo langu muhimu na nimekuwa nikipata matokeo ninayo yahitaji...

Results are attracted.

Kazi kwako sasa tayari nimeshakupa maujanja.


First u make decision and second ur decision makes you.

# Angalizo :
Ur vision board must be reasonable and honest. From a spiritual perspective, a vision board is nothing but you talking to the universe asking her what you want in your life.

The universe is not ur mother. It cannot give you what you have not asked like how ur mother used to do to u when u was a toddler.

# picha : mfano wa vision board
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    47.2 KB · Views: 19
Madhabahu yako ni yapi mkuu?? Mfano home uweke sehemu yako maalumu ya kuswali/kusali?(maombi)
 
Back
Top Bottom