USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

mkuu pole sana ILA KAMA KUNA SEHEMU ULIPINDISHA SHERIA UKAMUONEA MTU (najua ni vigumu kueleza hapa baadhi ya mambo) aisee you will suffer.
Hamna ,I specifically avoided areas of law zinazogusia private citizens ,nlimajor in energy precisely kwa kuwa the parties I sue in court ni serikali au makampuni katika sekta hii
 
milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha..
Mkuu Robert huu ni mfano mwingine wa kufundishia,,.. Binadamu ni wagumu sana kuelewa,,,ila mazingira yanajitahidi sana kuwaelewesha,,japo in a Hard way..

Cc; ROBERT HERIEL

Mpigie huyu muelezee kila kitu nakwambia wote wanakuroga watapoteana hutoi pesa 0764663662 anaitwa Amos.
 
kama uko dar bas shida yako allah atakufanyia wepes,na kama wew ndo mhusika nicheki pm nikuunge na mtu atayekusaidia na hatokutoza chochote zaid ya vifaa kununua wewe mwenyewe utakapokuwa sawa utampa shukrani yako

Nimeku PM kuanzia jana naona kimya
 
For sure am not joking nenda kimaro temboni kwa kuhani mussa tafuta jinsi ya kuface lives, tafadhali ulete ushuhuda hapa utastaajabu, binafsi amekomesha maswaiba yangu na watesi wangu wakafa.
Mmh aisee hivi kwa nini watu wanatesaga tu wenzao bila sababu.hawa watu wa kuitwa watesi ni kuwaondoa tu japo ni vyema waka kaa wakuone ukinyanyuka.
 
Hii dunia ionen tu iv iv mpaka nikajiita mbeba lawama ilkua hiv.. katka familia mm kama mtoto w kiume kuzalia katikat nlbahatika kupata Kaz katika umr mdogo Sana Kaz ilnlpa pa kubwa Sana na kwakua skua na majukum nliona pesa yangu ndio iwe nguzo kwa ndugu zangu wengne na tumezaliwa pande mbil Yan kwetu na was mama mwngne nlipo jchanganya n kuanza kusaidia na wale wengne s ndio wakaanza kuleta maneno anajkuta yeye ndio anapesa yeye ndio anakaz kaanza kumjengea na mzee wake nyumba asee walmwengu sjui waliniloga na nn toka 2019 nljkuta siwez kuingia ofcn naliogopa get la ofcn nlkaa nje ya ofs bila kuingia kazn mpka 2021 mwez wa 7 Kaz ikaisha ma hr washanikalsha Sana em nenda kwenu hii sio akil yako Sasa hata nikienda kwetu naenda kuanzia wap sielew nkawa nakunywa pombe hatar kesi zisozo na kichwa wala miguu zikainuka juu yangu uko ofcn mpka wengne wakawa wananiita Tapel. Hakuna mtu aliejtokeza kusaidia Kat ya ndugu zangu saiv nasota mwenyew hata Kaz ya kuendesha school bas nakosa nshaomba Sana Kaz lakn milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha.. pole Sana ndugu hil n letu sote Nshazunguka kwa waganga wachungaj mashekhe Sasa nmenyoosha mikono nasubr nione maisha yananpeleka wap Mana hii Hal n ya hatar Sana
Huu ndio Muandiko wako? Kweli mchawi amepiga kwingi...!
 
Yaani mtu usome hadi Havard School of Law, halafu bado unaamini upuuzi kuwa kuna uchawi na kurogwa?
I wish ungejua nilipo , life and fate took a turn to the point I don't know what to believe , nimetravel Al Amin hospital ,UAE , shrathman kaalkalil medical centre ,Gujarat , Kenyatta hospital ,Nairobi ,Aga Khan university hospital ,Nairobi ,Mediheal medical centre -south Africa , in all nimefanyiwa advanced test by doctors mpaka nimecater for specialist walikuwa flown from the UK to Al Amin then nikiwa Dubai , ...Al tests show nothing is wrong ,when conducting the tests doctors waki wisper unaskia their shock , multiple test come back showing nothing ,CT scans nothing ,mpaka unnecessary X rays to no avail .
Hapa muhimbili ,2 doctors ambao names ntareserve all privately advised ,kuwa naariibu pesa ,tests show nothing ,whilst the noises coming from the stomach can be heard ward iliyombele na nyuma mpaka njiani ...
In my last attempt I paid for three Spanish specialist from south Africa waje dar ,the result was the same , test show that am healthy and nothing is wrong , ilhali sauti za tumbo na mishipa imeprotrude visibly to the naked eye ,they all claim they can't treat what they can't test , watarevokiwa license ...
Now coming back to your point on my beliefs ,if the very people trained ,with years of experience under their belt all attest to strange occurrences ,what can a mere advocate in unchartered waters of medicine do ???
Armed as an amicus with those set of facts I availed ,
Put yourself in my shoes ,what would you have me believe ????
 
Hizo mbanga zipogo sana tu hasa kwa wale ambao wanaona mafanikio yako kama vile haukustahili, cha msingi achana na kampani za kizushi hao ndugu lawama nao piga chini anza maisha yako mengine tooofauti kabisa ikiwezekana na mtaa ama mkoa uhame kabisaaaa tafuta sehemu ambayo utakua huru kufanya mambo yako na pia mshirikishe sana Mungu , mambo za ulozi hazina mpango.
Thanks for the advice ,nlishahama masaki nlipokuwa ,I'm planning to auction off that property ,nipo mbezi ss , hata kijijini I'm never going back ,everrrr
 
Anayekuroga Ni mtu wa karibu yako.
Ndugu,marafiki,majirani.
Hata Mimi yalinikuta kwa kusaidia ndugu.wakashirikiana na majirani nikajikuta napoteza kazi,mchumba,n.k.
HAWAKUTOSHEKA HADI USIKU WALIKUWA WANANIFATA KIUCHAWI KUTAKA KUNICHUKUA.
Katika yote Ni uhai wangu tu walishindwa kuutoa.
Katika mapito yote hayo YESU alinishindia.
MSIKATE TAMAA WEWE TU AMUA,NENDA KWA WAGANGA AU KWA MUNGU.LAKINI USIKAE HIVIHIVI YAANI VUGUVUGU,KWA MUNGU HAUPO KWA WAGANGA HUENDI.
Kama una pesa nyingi zaidi ya wazazi wako peleka Sadaka kanisani/msikitini.katoe misaada kw watu wenye uhitaji.Ndugu usiwasaidie,Tena wasijue kazi yako na Mambo yako
 
mkuu m ninaweza kukusaidia kuna rafiki angu anafanya visomo je upo tyr?
Sina Cha kupoteza ,ni PM namba za Whatsapp ,ntakupin location ,au nitume driver aje mlipo awachukue awalete nilipo
 
Hii dunia ionen tu iv iv mpaka nikajiita mbeba lawama ilkua hiv.. katka familia mm kama mtoto w kiume kuzalia katikat nlbahatika kupata Kaz katika umr mdogo Sana Kaz ilnlpa pa kubwa Sana na kwakua skua na majukum nliona pesa yangu ndio iwe nguzo kwa ndugu zangu wengne na tumezaliwa pande mbil Yan kwetu na was mama mwngne nlipo jchanganya n kuanza kusaidia na wale wengne s ndio wakaanza kuleta maneno anajkuta yeye ndio anapesa yeye ndio anakaz kaanza kumjengea na mzee wake nyumba asee walmwengu sjui waliniloga na nn toka 2019 nljkuta siwez kuingia ofcn naliogopa get la ofcn nlkaa nje ya ofs bila kuingia kazn mpka 2021 mwez wa 7 Kaz ikaisha ma hr washanikalsha Sana em nenda kwenu hii sio akil yako Sasa hata nikienda kwetu naenda kuanzia wap sielew nkawa nakunywa pombe hatar kesi zisozo na kichwa wala miguu zikainuka juu yangu uko ofcn mpka wengne wakawa wananiita Tapel. Hakuna mtu aliejtokeza kusaidia Kat ya ndugu zangu saiv nasota mwenyew hata Kaz ya kuendesha school bas nakosa nshaomba Sana Kaz lakn milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha.. pole Sana ndugu hil n letu sote Nshazunguka kwa waganga wachungaj mashekhe Sasa nmenyoosha mikono nasubr nione maisha yananpeleka wap Mana hii Hal n ya hatar Sana
Anza kuamini,Funga,omba.Saa. Nane usiku amka uombe.siku 30 nyingi utaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom