USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

Vile tunafuatilia ushuhuda kwa umakini na kwa ukaribu😁😁😁
EW598.jpeg
 
kama uko dar bas shida yako allah atakufanyia wepes,na kama wew ndo mhusika nicheki pm nikuunge na mtu atayekusaidia na hatokutoza chochote zaid ya vifaa kununua wewe mwenyewe utakapokuwa sawa utampa shukrani yako
Nmekutumia message PM
 
Hizo mbanga zipogo sana tu hasa kwa wale ambao wanaona mafanikio yako kama vile haukustahili, cha msingi achana na kampani za kizushi hao ndugu lawama nao piga chini anza maisha yako mengine tooofauti kabisa ikiwezekana na mtaa ama mkoa uhame kabisaaaa tafuta sehemu ambayo utakua huru kufanya mambo yako na pia mshirikishe sana Mungu , mambo za ulozi hazina mpango.
 
Kaka ,hata mie nlipopata scholarship ya masters nlijua sirudi bongo , over there homesick ilinipata , racism kule it's real ,gun violence , unamiss hata kutoka ukale pweza tandika au supu yake ,wajipata unapeza hata ucanvass with any1 in Swahili , I came to the realization east or west home is best ,nlipograduate nkafungasha mabegi ,jetted back home
 
For sure am not joking nenda kimaro temboni kwa kuhani mussa tafuta jinsi ya kuface lives, tafadhali ulete ushuhuda hapa utastaajabu, binafsi amekomesha maswaiba yangu na watesi wangu wakafa.
I have nothing to loose kwa kwenda ,itabidi nifuate advice yako niende ,naumia sana
 
Kama ni shida mkuu ,I went through through poverty ,Ila sipendi kusifu umaskini ,bcoz fate ilinipata kwa pazuri ,Kama ni studies I worked hard mpaka mambo yakafunguka , sikusema popote shida ni ya mwingine ,nlitambua shida inampata yyte ,ndio maana nlitolea kusomesha Lau hata vijana wachache kesho wasaidie wengine in a way aimed at curbing levels of poverty in the long run .
Furaha kwangu haikuletwa na pesa ,nimechuja mengi sana kwa kuwa mpaka ss nilipo my state of mind haipo sawa ,wanaonijua wanajua nmekuwa mtu wa kucheka all through .
Ll reserve my criticism on your point of view , ningekuwa sawa ningeelezea mengi
 
Havard na maandiko huo. Ni ngumu kidogo
It has been a concern for me since Nlirudi ,my proffiency in speaking and writing Swahili mpaka Leo imeni elude ,I guess it stems conspicuously from my overuse of legalese ,English and latin legal maxims in court .
Kiswahili kilinihepa kidogo Ila najikakamua kujikumbusha ,but my command of other languages is solid .
 
Nyie watoto sijui mpoje. Mtu anashida na anaomba ushauri wewe unakuja kashfu maandiko. Mbona wewe umeandika vibaya na kuna typing errors nyingi. Jitahidi uwe na heshima.
Mkuu mie ndo siwaelewi hawa ,my intention ya kupost Uzi huu sio lugha Bali ni pate usaidizi ,Ila I guess sideshows ni nyingi , the day atajipata with level of stress na pain I feel ,ataelewa
 
Kama ni shida mkuu ,I went through through poverty ,Ila sipendi kusifu umaskini ,bcoz fate ilinipata kwa pazuri ,Kama ni studies I worked hard mpaka mambo yakafunguka , sikusema popote shida ni ya mwingine ,nlitambua shida inampata yyte ,ndio maana nlitolea kusomesha Lau hata vijana wachache kesho wasaidie wengine in a way aimed at curbing levels of poverty in the long run .
Furaha kwangu haikuletwa na pesa ,nimechuja mengi sana kwa kuwa mpaka ss nilipo my state of mind haipo sawa ,wanaonijua wanajua nmekuwa mtu wa kucheka all through .
Ll reserve my criticism on your point of view , ningekuwa sawa ningeelezea mengi
Upo dar?
 
Back
Top Bottom