Said Bandar
Member
- Jun 3, 2022
- 83
- 211
- Thread starter
- #121
Ndio
Uliwasiliana na mbunge wa jimbo mkuu kabla ya kujenga ?nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini
Garama za kumuona kiasi ganiFor sure am not joking nenda kimaro temboni kwa kuhani mussa tafuta jinsi ya kuface lives, tafadhali ulete ushuhuda hapa utastaajabu, binafsi amekomesha maswaiba yangu na watesi wangu wakafa.
Umeuona wako mkuu!!!Havard na maandiko huo. Ni ngumu kidogo
Watu tumeamua kuwa na roho mbaya...baada ya kuumizwaHii dunia ionen tu iv iv mpaka nikajiita mbeba lawama ilkua hiv.. katka familia mm kama mtoto w kiume kuzalia katikat nlbahatika kupata Kaz katika umr mdogo Sana Kaz ilnlpa pa kubwa Sana na kwakua skua na majukum nliona pesa yangu ndio iwe nguzo kwa ndugu zangu wengne na tumezaliwa pande mbil Yan kwetu na was mama mwngne nlipo jchanganya n kuanza kusaidia na wale wengne s ndio wakaanza kuleta maneno anajkuta yeye ndio anapesa yeye ndio anakaz kaanza kumjengea na mzee wake nyumba asee walmwengu sjui waliniloga na nn toka 2019 nljkuta siwez kuingia ofcn naliogopa get la ofcn nlkaa nje ya ofs bila kuingia kazn mpka 2021 mwez wa 7 Kaz ikaisha ma hr washanikalsha Sana em nenda kwenu hii sio akil yako Sasa hata nikienda kwetu naenda kuanzia wap sielew nkawa nakunywa pombe hatar kesi zisozo na kichwa wala miguu zikainuka juu yangu uko ofcn mpka wengne wakawa wananiita Tapel. Hakuna mtu aliejtokeza kusaidia Kat ya ndugu zangu saiv nasota mwenyew hata Kaz ya kuendesha school bas nakosa nshaomba Sana Kaz lakn milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha.. pole Sana ndugu hil n letu sote Nshazunguka kwa waganga wachungaj mashekhe Sasa nmenyoosha mikono nasubr nione maisha yananpeleka wap Mana hii Hal n ya hatar Sana
Hii story umekopi mahaliIla inauma Sana ,Yaani bila sababu wameniseti
Ll keep that in mind ,the regrets I have are manyUnapata hela unagawana na binadamu, toka lini watu wakawa na utu?... hata uwe mwema vipi binadamu atakuzingua tuu
Ukipona jifunze kumind your own business
Nope this is my personal story ,nimefilter alot , am deep in stress so silo keen in my typingHii story umekopi mahali
HahahahaNyuzi kama hizi huwa ni mahususi kwa ajili ya kutangaza mafundi wa tiba asili na manabii
Unatoka Kijiji gani?Thanks for the advice ,nlishahama masaki nlipokuwa ,I'm planning to auction off that property ,nipo mbezi ss , hata kijijini I'm never going back ,everrrr
We ni Mzee wa mapaka tu maana nilidhani huwa unawaponda wanasiasa tu kuwa ni mapaka kumbe hata ktk mambo mengine [emoji28][emoji1732][emoji848]Vile tunafuatilia ushuhuda kwa umakini[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2255100
Nakua wa mwisho kuamini hili, kuto kuamini kwangu sio kwamba haiwezekani la bali binafsi unaweza kuwa tajiri na utajiri bila ushirikina lakini wema ukiwa nao, na wema unaweza kuufanya bila kuegemea kwenye dini.Kuna ndoa yakifo Kati ya utajiri na ushirikina, Mali bila ushirikina yatakupata hayo. Ukitaka uwe mshirikina au uwe mtu wa Mungu ila usikae Bure Bure tu utakufa.
Simshauri aende kwa huyo kuhani, Kuhani ana kamba nyingi mno.Pole Sana nenda kwa kuhani Musa kwenye ibada jumapili ,jumanne na ijumaa hutajutia.
Mimi huwa nasaidia ndugu wa tumbo moja tu, wengine sina habari nao. Nikitaka kutoa sadaka napeleka kwenye vituo vya watoto yatima. Mara nyingi wanaokudhuru kishirikina ni watu wanaokufahamuAnayekuroga Ni mtu wa karibu yako.
Ndugu,marafiki,majirani.
Hata Mimi yalinikuta kwa kusaidia ndugu.wakashirikiana na majirani nikajikuta napoteza kazi,mchumba,n.k.
HAWAKUTOSHEKA HADI USIKU WALIKUWA WANANIFATA KIUCHAWI KUTAKA KUNICHUKUA.
Katika yote Ni uhai wangu tu walishindwa kuutoa.
Katika mapito yote hayo YESU alinishindia.
MSIKATE TAMAA WEWE TU AMUA,NENDA KWA WAGANGA AU KWA MUNGU.LAKINI USIKAE HIVIHIVI YAANI VUGUVUGU,KWA MUNGU HAUPO KWA WAGANGA HUENDI.
Kama una pesa nyingi zaidi ya wazazi wako peleka Sadaka kanisani/msikitini.katoe misaada kw watu wenye uhitaji.Ndugu usiwasaidie,Tena wasijue kazi yako na Mambo yako
msimpotoshe huyu mtu, namshauri aache kufuata wanadamu, sijui nabii gani, sijui kuhani gani, sijui nani amuombee...MTAFUTE MUNGU, kwanza uokoke na mengine yote yatakuja kwa ziada. maishani kabla hayajakupata ni kwamba huwa una neema ya ulinzi tu wa Mungu, sasa neema hiyo ikikutoka unatakiwa uitafute ili upate ulinzi. kuombewa hata kama utaombewa kama hujakabidhi maisha yako kwa Yesu ni temporary tu. zaidi sana, ogopa sana viumbe wanaitwa manabii, sijui wapaka mafuta sijui nini. mimi ni mlokole, nimeshapita na kudanganywa sana huko, namshukuru Mungu kwasababu lilikuwa ni darasa Mungu aliruhusu nipitie na kuwajua ili niwafundishe wengine.For sure am not joking nenda kimaro temboni kwa kuhani mussa tafuta jinsi ya kuface lives, tafadhali ulete ushuhuda hapa utastaajabu, binafsi amekomesha maswaiba yangu na watesi wangu wakafa.
Tyr nimekutumia no na ukifanikiwa naomba uje kuleta mrejesho hapa ili na wengine wafaidikeSina Cha kupoteza ,ni PM namba za Whatsapp ,ntakupin location ,au nitume driver aje mlipo awachukue awalete nilipo
Omba Mungu kwa Imani yako uwe mkristu au muislam lakin usiende kwa waganga ndo utaharibu kabisaI wish ungejua nilipo , life and fate took a turn to the point I don't know what to believe , nimetravel Al Amin hospital ,UAE , shrathman kaalkalil medical centre ,Gujarat , Kenyatta hospital ,Nairobi ,Aga Khan university hospital ,Nairobi ,Mediheal medical centre -south Africa , in all nimefanyiwa advanced test by doctors mpaka nimecater for specialist walikuwa flown from the UK to Al Amin then nikiwa Dubai , ...Al tests show nothing is wrong ,when conducting the tests doctors waki wisper unaskia their shock , multiple test come back showing nothing ,CT scans nothing ,mpaka unnecessary X rays to no avail .
Hapa muhimbili ,2 doctors ambao names ntareserve all privately advised ,kuwa naariibu pesa ,tests show nothing ,whilst the noises coming from the stomach can be heard ward iliyombele na nyuma mpaka njiani ...
In my last attempt I paid for three Spanish specialist from south Africa waje dar ,the result was the same , test show that am healthy and nothing is wrong , ilhali sauti za tumbo na mishipa imeprotrude visibly to the naked eye ,they all claim they can't treat what they can't test , watarevokiwa license ...
Now coming back to your point on my beliefs ,if the very people trained ,with years of experience under their belt all attest to strange occurrences ,what can a mere advocate in unchartered waters of medicine do ???
Armed as an amicus with those set of facts I availed ,
Put yourself in my shoes ,what would you have me believe ????
Mungu wa kweli anayejibu ni MUngu utakayemwomba kupitia Yesu Kristo tu, kwengine kote huko hakuna lolote.Omba Mungu kwa Imani yako uwe mkristu au muislam lakin usiende kwa waganga ndo utaharibu kabisa
Tafuta msaada wa watumishi