Said Bandar
Member
- Jun 3, 2022
- 83
- 211
- Thread starter
- #61
Ila daaah ,nalia , nikibana pesa wanadai mbinafsi ,nikisaidia ndo haya ,Ila Dunia !!!Wema wako umekuponza ....UKIWA NA PESA CHAPA PEKE YAKO....CUZ BINADAMU NI BINADAMU TU ...
Ila daaah ,nalia , nikibana pesa wanadai mbinafsi ,nikisaidia ndo haya ,Ila Dunia !!!Wema wako umekuponza ....UKIWA NA PESA CHAPA PEKE YAKO....CUZ BINADAMU NI BINADAMU TU ...
Ningelijua hili kitambo ,ningefanya jambo ,Ila mambo ya ushirikina sijui hata sumniKuna ndoa yakifo Kati ya utajiri na ushirikina, Mali bila ushirikina yatakupata hayo. Ukitaka uwe mshirikina au uwe mtu wa Mungu ila usikae Bure Bure tu utakufa.
Sema sikulelewa kujigamba ,kwe2 toka enzi hizo wazazi walitulea kuwa watulivu , nachukia kuonea watu ,umaskini utotoni ulifanya nijue uchungu wa kutokuwa na pesaTajiri gani huna roho mbaya!!! Hivi hii bongo Ukisaidia watu wanakuona Unaringa....
Aisee ,kumbe limetokea wengiKuwa uone watu wanavyosota, kisha usishangae nini kiliwakutaaah, kuwa uone watu wanavyokwenda kisha usishangae tisa kuitwa kendaaah...
Baba hii dunia ni kubwa. Pole
Nipe mwelekezo ,nilipo maumivu Yaani acha tu ,amani ishapoteaSamahani kabisa je hiii ni ukweli maana msaada upo nimeombaga msaada humu nikapatiwa
Dah,tupo wengi,mimi nna wiki nipo ndani sitoki,na nna mke na watoto 3,na nipo nje ya tanzania.maisha haya changamoto Sana.Hii dunia ionen tu iv iv mpaka nikajiita mbeba lawama ilkua hiv.. katka familia mm kama mtoto w kiume kuzalia katikat nlbahatika kupata Kaz katika umr mdogo Sana Kaz ilnlpa pa kubwa Sana na kwakua skua na majukum nliona pesa yangu ndio iwe nguzo kwa ndugu zangu wengne na tumezaliwa pande mbil Yan kwetu na was mama mwngne nlipo jchanganya n kuanza kusaidia na wale wengne s ndio wakaanza kuleta maneno anajkuta yeye ndio anapesa yeye ndio anakaz kaanza kumjengea na mzee wake nyumba asee walmwengu sjui waliniloga na nn toka 2019 nljkuta siwez kuingia ofcn naliogopa get la ofcn nlkaa nje ya ofs bila kuingia kazn mpka 2021 mwez wa 7 Kaz ikaisha ma hr washanikalsha Sana em nenda kwenu hii sio akil yako Sasa hata nikienda kwetu naenda kuanzia wap sielew nkawa nakunywa pombe hatar kesi zisozo na kichwa wala miguu zikainuka juu yangu uko ofcn mpka wengne wakawa wananiita Tapel. Hakuna mtu aliejtokeza kusaidia Kat ya ndugu zangu saiv nasota mwenyew hata Kaz ya kuendesha school bas nakosa nshaomba Sana Kaz lakn milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha.. pole Sana ndugu hil n letu sote Nshazunguka kwa waganga wachungaj mashekhe Sasa nmenyoosha mikono nasubr nione maisha yananpeleka wap Mana hii Hal n ya hatar Sana
Sitokupinga Ila kiswahili sijui kuandika vizuru ,but my proficiency in writing the queens language is efficient ,I didn't scale the heights of education to Havard by shear chance ,Ila siyo dhumuni la Uzi huuMwandiko wa Mhitimu wa std 7 !
Asante Sana mkuu , naamini ntayashindaUlienda smooth sana Mkuu... Kila ulicho kuwa unafanya ulikuwa unapeta tu
Hizo ndo changamoto zenyewe Sasa,Ukiweza kuzikabiri utakuwa stronger ukishindwa kuzikabiri umeisha.
Kikubwa usikubali kurudi nyuma, Hilo ni funzo la kukukomaza zaidi.
Ndiyo maana ya #KILA KITU KINATOKEA KWA SABABU.
Kwa sisi tulio nje ya Tanzania?For sure am not joking nenda kimaro temboni kwa kuhani mussa tafuta jinsi ya kuface lives, tafadhali ulete ushuhuda hapa utastaajabu, binafsi amekomesha maswaiba yangu na watesi wangu wakafa.
Awa watu wapo badokama uko dar bas shida yako allah atakufanyia wepes,na kama wew ndo mhusika nicheki pm nikuunge na mtu atayekusaidia na hatokutoza chochote zaid ya vifaa kununua wewe mwenyewe utakapokuwa sawa utampa shukrani yako
Asikupe taabu huyo ,maneno yake yanaeleza wazi alivo personal ,sema nimekaa nje ya nchi zaidi ya miaka minane kable kurudi nchini ,kiswahili changu kwa matamshi na mwandiko kilishuka uhodari ,Ila ajue sikufika marekani masomo kwa kubahatishaJarbu kufcha ujinga wako mbele ya kadamnas
Kiswahili labda ,Ila English wise ,am an excellent orator and speaker ,law is my passion ,as well as the corresponding language ,Ila weledi wangu wa lugha silo dhumuni la Uzi huuAah,Labda hayuko vizuri kwenye art ya uandishi. Tusi mjudge.au Labda kaleta bandiko linalo mhusu jamaa au ndugu yake wa karibu.Hatuwezi jua
PoleNawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu. Kwa majina naitwa Benjamin mchopa, mzawa wa Kanda la Ziwa.
Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ila usipopata ni sawa, Mungu wetu sote.
Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea, upili nlipita kwa alama za juu mno.
Nilifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo Kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class, niliproceed LLM in energy law, Havard.
Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli, kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi), Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya. Yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha.
Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining, extraction na social development.
Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa, pesa niliogelea nazo wangwana. Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM.
Licha ya yote haya sikumdharau yeyote, niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa. Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza.
Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini. Sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo.
Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba, kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu, kortini tena siwezi kwenda, yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .
Nikiwa hospitali yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile, maumivu usiseme.
Nimezunguka Sauzi, Nairobi, Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika
Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair, yale mengine TRA, makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .
Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .
Yaani nahisi nipo under attack, amani imesepa, sijui nigeukie wapi..
Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi, nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo. Yaani utajiri, afya, hata furaha kwa familia imepotea, bad news after another .
Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana, nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .
Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi, natuma mtu. Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .
Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi? Mbona nimesahulika?
Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya?
Daah Dunia imenigeuka, nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi?
Hivi mnaologa Kama ni kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza, wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada?
Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie?
Wazee wa ndagu, wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!
Daaah!!!!
The essence and purpose of my post was not intended in any way ,to convince anyone of my tribulations , hapo juu Kuna mwingine ,alipitia same situation na ameelezea , all in all ,I pray situations as these never catch up with you [emoji120]Mimi siamini.Uongo huu