USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu ,kwa majina naitwa Benjamin mchopa ,mzawa wa Kanda la ziwa .

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ,pia usipopata ni sawa ,Mungu wetu sote .

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea ,upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nlifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class ,niliproceed LLM in energy law ,Havard .

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli , kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi) ,Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya ,yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha .

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining ,extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa ,pesa niliogelea nazo wangwana .Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM .

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote ,niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa ,Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza .

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini , Ila sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo .

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba ,kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu ,kortini tena siwezi kwenda , Yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali Yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile ,maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi ,Nairobi ,Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair , Yale mengine TRA ,makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack ,amani imesepa ,sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi ,nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo .Yaani utajiri ,afya ,hata furaha kwa familia imepotea ,bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani ? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana ,nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi ,natumana ,Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi ? Mbona nmesahulika ,?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya ?

Daah Dunia imenigeuka ,nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi ?

Hivi mnaologa Kama no kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza ,wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada ?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie ?

Wazee wa ndagu , wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
Ukiwa bahiri.......utasemwa. Na ukiwa mtoaji pia nitatizo. Duuuh hii dunia hatare sana
 
Tumia akili..

Trend reading.. Ingia Google siwezi kukutafunia hapa..

Baada ya kuelewa trend reading reflects kwenye cycles yako.. Then next step anza kufanya information control and manipulations.. Utamjua mhusika.

Kuwa na busara always.. Punguza jazba.. Ulimwengu una mengi ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi.. Bila busara, utimamu na uvumilivu utadata ndugu.
 
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu ,kwa majina naitwa Benjamin mchopa ,mzawa wa Kanda la ziwa .

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ,pia usipopata ni sawa ,Mungu wetu sote .

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea ,upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nlifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class ,niliproceed LLM in energy law ,Havard .

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli , kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi) ,Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya ,yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha .

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining ,extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa ,pesa niliogelea nazo wangwana .Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM .

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote ,niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa ,Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza .

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini , Ila sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo .

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba ,kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu ,kortini tena siwezi kwenda , Yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali Yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile ,maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi ,Nairobi ,Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair , Yale mengine TRA ,makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack ,amani imesepa ,sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi ,nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo .Yaani utajiri ,afya ,hata furaha kwa familia imepotea ,bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani ? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana ,nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi ,natumana ,Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi ? Mbona nmesahulika ,?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya ?

Daah Dunia imenigeuka ,nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi ?

Hivi mnaologa Kama no kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza ,wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada ?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie ?

Wazee wa ndagu , wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
kama uko dar bas shida yako allah atakufanyia wepes,na kama wew ndo mhusika nicheki pm nikuunge na mtu atayekusaidia na hatokutoza chochote zaid ya vifaa kununua wewe mwenyewe utakapokuwa sawa utampa shukrani yako
 
ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo
Hii point masikini Ni mtu mbaya sana Bora ukutane na Simba Ila sio yeye. Kidogo tu anaringa na haka kagari tuone atafika.
Binafsi nikipata hela nikanunua apartment nje yaani afrika nawaachiaI must live in Europe no matter what
 
Kwanza Pole sana kama wewe muandishi ndio muhusika na kama umehadithia yanayomkuta ndugu au rafiki yako basi kampe pole pia,
Husda/ uchawi upo tatizo ni jinsi ya kujikinga na hizo husda.
Mimi nishawahi kuwa mhanga wa matukio kama hayo kuanzia 2019-2021. Yaliponianza nikapata chance ya kwenda ughaibuni, ila nikafanya kosa la kurudi hata nisijue nini kimenirudisha na hapo ndio nilipitia kibano.
Kwa kifupi nilipoteza ndugu na marafiki, huwezi amini hata vitoto nilivyovisaidia vilikuwa vinaniita TAPELI.
Ila sijui ilikuwaje nikajikuta napata ahuneni July 2021 nikiwa nimeshamkabidhi Mungu maisha yangu, binafsi niliona siwezi kwa nguvu zangu za kibnadamu ngoja Mungu aamue yeye sasa.
 
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu ,kwa majina naitwa Benjamin mchopa ,mzawa wa Kanda la ziwa .

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ,pia usipopata ni sawa ,Mungu wetu sote .

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea ,upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nlifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class ,niliproceed LLM in energy law ,Havard .

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli , kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi) ,Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya ,yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha .

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining ,extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa ,pesa niliogelea nazo wangwana .Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM .

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote ,niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa ,Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza .

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini , Ila sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo .

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba ,kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu ,kortini tena siwezi kwenda , Yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali Yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile ,maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi ,Nairobi ,Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair , Yale mengine TRA ,makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack ,amani imesepa ,sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi ,nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo .Yaani utajiri ,afya ,hata furaha kwa familia imepotea ,bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani ? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana ,nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi ,natumana ,Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi ? Mbona nmesahulika ,?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya ?

Daah Dunia imenigeuka ,nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi ?

Hivi mnaologa Kama no kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza ,wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada ?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie ?

Wazee wa ndagu , wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
For sure am not joking nenda kimaro temboni kwa kuhani mussa tafuta jinsi ya kuface lives, tafadhali ulete ushuhuda hapa utastaajabu, binafsi amekomesha maswaiba yangu na watesi wangu wakafa.
 
Pole ndugu, ni rahisi sana kuanza kuingia kwenye hayo mambo ya kiimani ukipata matatizo, be strong na jaribu sana kushughulikia kila tatizo separate bila kuunganisha na lingine, na mara nyingi kwa experience yangu ukipata tatizo moja basi mengine yanafuata mpaka unaanza kujiuliza nina mkosi gani? deal na moja baada ya jingine na tumia akili bila emotions zozote wala kulaumu mtu, kwa malori pigana na hizo kesi kisheria bila kupoteza muda au kufikiria unaonewa, kuugua kupo na wala sio mtu wa kwanza nakushauri tafuta madaktari wazuri wakusaidie achana na mambo ya kikombe cha babu, na anagalia sana pesa zako wakati huu wa matatizo ndio wakati mzuri sana kushikiria pesa zako kwa karibu sana maana ukiangalia vizuri ndio zitakusaidia kupunguza matattizo na wakati huu ndio kila mtu atajaribu kula pesa zako kwa kujifanya wanakusaidia kuwa makini sana
 
Story imetungwa kwa ubunifu hafifu sana! Sijui kama malengo yako yatatimia.

Hata katika story ukaongeza ...usisaidie maskin...! Ndo nikajua we sio mzima. Umechoka mwili na roho. Kwa taarifa yako kila mwenye hela anajua raha ya kusaidia.

Anajua namna gani anajiona ana thaman dunian. We uko kundi la kupewa huwezi jua hili. Unaamini furaha ni kuwa na pesa unasahau je ukishakuwa na pesa furaha inakuwa nini! Pesa ni tool ya kupata furaha sio furaha yenyewe!.

So, siwez kukupa ushauri wowote mana ni riwaya. Ila tambua tu maisha huweza kukuweka kona yoyote bila kuhusisha kurogwa wala kutenda wema wala ubaya.

Wema na ubaya ni mwanga na giza. Kuchagua ni hiari yako.

Tatizo la binadam ni kuamini hali nzuri inatuhusu lakin hali mbaya ni kwa wengine. Ndo maana mpumbavu akipata huwadharau anaowazidi.

Mianya iliyofunguka kwa nguvu za asili huweza kufunga pia kwa nguvu za asili. Ulichopata leo akakosa yule huweza kupewa mwingine ukakosa wewe.

Jifunze kupitia walau siasa za nchi yetu na jinsi awamu zinakuwa. Ulaji unavokuwa!

Kama una elimu dunia kidogo, jarib kuitumia kabla hujafikiria vya kufikirika!
 
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu ,kwa majina naitwa Benjamin mchopa ,mzawa wa Kanda la ziwa .

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ,pia usipopata ni sawa ,Mungu wetu sote .

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea ,upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nlifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class ,niliproceed LLM in energy law ,Havard .

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli , kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi) ,Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya ,yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha .

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining ,extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa ,pesa niliogelea nazo wangwana .Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM .

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote ,niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa ,Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza .

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini , Ila sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo .

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba ,kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu ,kortini tena siwezi kwenda , Yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali Yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile ,maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi ,Nairobi ,Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair , Yale mengine TRA ,makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack ,amani imesepa ,sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi ,nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo .Yaani utajiri ,afya ,hata furaha kwa familia imepotea ,bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani ? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana ,nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi ,natumana ,Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi ? Mbona nmesahulika ,?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya ?

Daah Dunia imenigeuka ,nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi ?

Hivi mnaologa Kama no kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza ,wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada ?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie ?

Wazee wa ndagu , wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
Kuna ustaadh mmoja hivi namfahamu hapo angekufaa sana aisee.

Mzee aliteseka usiku na mchana ila kwa uwezo wake Moula basi yaliisha kupitia yeye
 
Back
Top Bottom