USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

Hii dunia ionen tu iv iv mpaka nikajiita mbeba lawama ilkua hiv.. katka familia mm kama mtoto w kiume kuzalia katikat nlbahatika kupata Kaz katika umr mdogo Sana Kaz ilnlpa pa kubwa Sana na kwakua skua na majukum nliona pesa yangu ndio iwe nguzo kwa ndugu zangu wengne na tumezaliwa pande mbil Yan kwetu na was mama mwngne nlipo jchanganya n kuanza kusaidia na wale wengne s ndio wakaanza kuleta maneno anajkuta yeye ndio anapesa yeye ndio anakaz kaanza kumjengea na mzee wake nyumba asee walmwengu sjui waliniloga na nn toka 2019 nljkuta siwez kuingia ofcn naliogopa get la ofcn nlkaa nje ya ofs bila kuingia kazn mpka 2021 mwez wa 7 Kaz ikaisha ma hr washanikalsha Sana em nenda kwenu hii sio akil yako Sasa hata nikienda kwetu naenda kuanzia wap sielew nkawa nakunywa pombe hatar kesi zisozo na kichwa wala miguu zikainuka juu yangu uko ofcn mpka wengne wakawa wananiita Tapel. Hakuna mtu aliejtokeza kusaidia Kat ya ndugu zangu saiv nasota mwenyew hata Kaz ya kuendesha school bas nakosa nshaomba Sana Kaz lakn milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha.. pole Sana ndugu hil n letu sote Nshazunguka kwa waganga wachungaj mashekhe Sasa nmenyoosha mikono nasubr nione maisha yananpeleka wap Mana hii Hal n ya hatar Sana
Karibu kimara temboni mkuu,
Mi mwenyewe niliponea pale ilibakia kidogo nijiue.
 
mkuu pole sana ILA KAMA KUNA SEHEMU ULIPINDISHA SHERIA UKAMUONEA MTU (najua ni vigumu kueleza hapa baadhi ya mambo) aisee you will suffer.
 
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu. Kwa majina naitwa Benjamin mchopa, mzawa wa Kanda la Ziwa.

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ila usipopata ni sawa, Mungu wetu sote.

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea, upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nilifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo Kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class, niliproceed LLM in energy law, Havard.

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli, kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi), Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya. Yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha.

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining, extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa, pesa niliogelea nazo wangwana. Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM.

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote, niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa. Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza.

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini. Sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo.

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba, kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu, kortini tena siwezi kwenda, yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile, maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi, Nairobi, Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair, yale mengine TRA, makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack, amani imesepa, sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi, nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo. Yaani utajiri, afya, hata furaha kwa familia imepotea, bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana, nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi, natuma mtu. Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi? Mbona nimesahulika?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya?

Daah Dunia imenigeuka, nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi?

Hivi mnaologa Kama ni kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza, wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie?

Wazee wa ndagu, wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
Funga siku tatu, Piga goti mwombe Mungu, ili jina la Yesu Kristo lifanye kazi.
 
Tumia akili..

Trend reading.. Ingia Google siwezi kukutafunia hapa..

Baada ya kuelewa trend reading reflects kwenye cycles yako.. Then next step anza kufanya information control and manipulations.. Utamjua mhusika.

Kuwa na busara always.. Punguza jazba.. Ulimwengu una mengi ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi.. Bila busara, utimamu na uvumilivu utadata ndugu.
Mkuu samahani unamaanisha nini na mimi ningependa kujifunza zaidi kitu hapo
 
Kwaiyo umebakiwa na sh.ngapi au hela zimeisha kabisa
Ila ya kweli haya??
 
Hii dunia ionen tu iv iv mpaka nikajiita mbeba lawama ilkua hiv.. katka familia mm kama mtoto w kiume kuzalia katikat nlbahatika kupata Kaz katika umr mdogo Sana Kaz ilnlpa pa kubwa Sana na kwakua skua na majukum nliona pesa yangu ndio iwe nguzo kwa ndugu zangu wengne na tumezaliwa pande mbil Yan kwetu na was mama mwngne nlipo jchanganya n kuanza kusaidia na wale wengne s ndio wakaanza kuleta maneno anajkuta yeye ndio anapesa yeye ndio anakaz kaanza kumjengea na mzee wake nyumba asee walmwengu sjui waliniloga na nn toka 2019 nljkuta siwez kuingia ofcn naliogopa get la ofcn nlkaa nje ya ofs bila kuingia kazn mpka 2021 mwez wa 7 Kaz ikaisha ma hr washanikalsha Sana em nenda kwenu hii sio akil yako Sasa hata nikienda kwetu naenda kuanzia wap sielew nkawa nakunywa pombe hatar kesi zisozo na kichwa wala miguu zikainuka juu yangu uko ofcn mpka wengne wakawa wananiita Tapel. Hakuna mtu aliejtokeza kusaidia Kat ya ndugu zangu saiv nasota mwenyew hata Kaz ya kuendesha school bas nakosa nshaomba Sana Kaz lakn milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha.. pole Sana ndugu hil n letu sote Nshazunguka kwa waganga wachungaj mashekhe Sasa nmenyoosha mikono nasubr nione maisha yananpeleka wap Mana hii Hal n ya hatar Sana
Pole sana..
 
Pole sana ndugu, piga moyo konde na mwamini yule umtumainiye.

Mambo yakizi kwenda mrama si mbaya kusema hata na wataalam mbadala

Uchawi upo, kama huamini waulize Simba SC kwenda kuchawia dimbani na bado wakafungwIla
Pole sana ndugu, piga moyo konde na mwamini yule umtumainiye.

Mambo yakizi kwenda mrama si mbaya kusema hata na wataalam mbadala

Uchawi upo, kama huamini waulize Simba SC kwenda kuchawia dimbani na bado wakafungwa
Ila inauma Sana ,Yaani bila sababu wameniseti
 
Pole sana ndugu, piga moyo konde na mwamini yule umtumainiye.

Mambo yakizi kwenda mrama si mbaya kusema hata na wataalam mbadala

Uchawi upo, kama huamini waulize Simba SC kwenda kuchawia dimbani na bado wakafungwa
Ila hawa jamaa hatari ,Yaani bila kukosewa ,washanipa kichapo
 
Dahh muombe Mungu sana maana hizo vita si ndogo. Watu hadi wakuone iko chini kabisa ndo wanamalizana na wewe... Pole
 
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu. Kwa majina naitwa Benjamin mchopa, mzawa wa Kanda la Ziwa.

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ila usipopata ni sawa, Mungu wetu sote.

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea, upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nilifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo Kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class, niliproceed LLM in energy law, Havard.

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli, kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi), Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya. Yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha.

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining, extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa, pesa niliogelea nazo wangwana. Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM.

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote, niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa. Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza.

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini. Sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo.

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba, kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu, kortini tena siwezi kwenda, yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile, maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi, Nairobi, Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair, yale mengine TRA, makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack, amani imesepa, sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi, nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo. Yaani utajiri, afya, hata furaha kwa familia imepotea, bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana, nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi, natuma mtu. Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi? Mbona nimesahulika?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya?

Daah Dunia imenigeuka, nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi?

Hivi mnaologa Kama ni kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza, wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie?

Wazee wa ndagu, wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
kuna njia moja tu inaweza kukuponya maisha yako yote, na utarudi hapa kutoa ushuhuda kama utafuata masharti yake. Unaweza kuwa umeshajaribu sana njia nyingi na pengine hii pia ila bila kufuata masharti vizuri. na kwasababu umekamatika, hauna jinsi ila kutafuta kina namna ili upone na maisha yako yarudi kama awali. Maadamu u mzima, unaweza kuongea, unaweza hata kuandika jf, BADO LIPO TUMAINI, unayo nafasi ya kupona kabisa na ukawa ushuhuda mwingine kwa watu.

sikiliza. Njia hii, ni njia ya wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Mungu ameweka njia hiyo tu kwamba wanadamu wooote wenye dhambi, wenye matatizo wapitie hiyo wakaitue mizigo yao yote, wakatue magonjwa yao yote, na yeye atakubebea, wewe utabaki kuwa huru.

unachotakika (masharti), Umkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, na kuamini moyoni kwamba Mungu alimfufua katika wafu, kwamba alikufa na kufufuka kwa kufanyika kafara la ukombozi wa maisha yako. Yesu Kristo ni Mwokozi, mponyaji na ndiye njia kweli na uzima.

sijui dini yako, sijui ulikopitiapitia. ila nikuambiacho, ukimkiri Yesu Kristo kwa kinywa chako na kuamua awe Mwokozi wa maisha yako, utaokoka roho, mwili na nafsi, na mali zako zote, na kazi, na watoto, na familia n.i. ila, lazima ujitoe maisha yote. You must surrender toka ndani ya moyo wako, Imani yako kwa Mungu through Yesu Kristo iwe kipaumbele cha kwanza na vingine vyote ni secondary. mwanadamu hawezi kumwona Mungu hadi asalende maisha yake yote, fikra zake, kila kitu akijenge kwenye misingi ya Imani ndani ya Yesu Kristo, hapo ndipo Mungu hufanya makao maishani mwetu, atakupigania kwa watesi wako, atawafukuza wachawi, mashetani n.k, na anao uwezo kurudisha miaka yako yoote iliyoliwa na matatizo. MUNGU ANAWEZA.

pia, anza kusoma Neno la Mungu, Biblia. nikiri kwamba, sio kwamba nabagua dini au la, ila kwa ushuhuda wa maisha yangu, hicho tu ndicho kitabu kilichobadilisha maisha yangu.

Mimi nilishapitia maisha kama hayo ya kwako, lakini amini usiamini, it takes no longer than a day Mungu kubadilisha maisha yako kama akiamua, na mazingira gani yatamfanya aamue? pale utakaposalenda maisha yako kwake ili awe Mungu wako, na ukijua kwamba hapa duniani tunaishi tu ila bila Mungu shetani anaweza kufanya lolote dhidi yetu. hatuna nguvu za kumshinda shetani bila Mungu. shukuru Mungu bado mzima.

ulifanya kosa sana kutoamini kama wachawi wapo. mimi hata watoto wangu huwa nawafundisha kwamba wachawi wapo, hivyo maisha yao wawe wanamtumaini Mungu ndiye atakayewalinda na wachawi. nasema hivyo kwasababu nilishawahi kulogwa na kufanywa fukara wa kutupa. huwa naamini kwamba kati ya watu waliowahi kupitia maisha magumu duniani wakiwa na elimu ya Masters, ni mimi na mke wangu. tulifika kipindi kila tunachofanya hakifanikiwi, kila mlango umefungwa, wale tuliowasaidia wanatucheka kwamba tumekwisha wakati sisi ndio tuliwasaidia kufika walipo, kila mtu alitukimbia, tukabaki sisi na Mungu. tulichoamua ni kuanza kumtafuta Mungu na kumuomba Mungu kwa bidii. tulitfuta uso wa Mungu, ikafika majira ambayo Mungu aliamua kushuka kututetea, IMEKUWA HISTORIA. kila kitu kilikuwa kinakuja dabodabo. siongei kishabiki, ni hakika, mafanikio yalianza kutufuata tu ni kama milango imefunguka.

wachawi wapo, ni maajenti wa shetani, na wengine huwa wanakuwa watu wako wa karibu mno. ishi ukijua kuwa kama kuna Mungu basi na shetani na maajenti wake wapo, na hizo ndio falme zinazoshindana/adui siku zote. ukiamua kuwa upande wa Mungu jua kabisa kuwa upande wa shetani ni adui zako, na ukiamua kuwa upande wa shetani jua upande wa Mungu sio watu wako. ukiamua kuwa wa shetani utapata vya shetani ila kuna siku atakuteketeza na kukufedhehesha, utalipia ulivyokula, ila ukiwa kwa Mungu gharama pekee utakayolipa ni kujitoa kwa Mungu na kufuata sheria zake tu na gharama zingine zote Mungu ameshalipa kwa Damu ya Yesu Kristo.

Mungu akusaidie.
 
Back
Top Bottom