Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
- Thread starter
- #21
PoleHivo vi PhD vyenyewe wanafadhiliwa na hao hao mabeberu
PoleHivo vi PhD vyenyewe wanafadhiliwa na hao hao mabeberu
Hahahaaa...vilaza type hiyo si utasikia "Samia hoyeee"!!!Nimegundua Hawa kina dada wanaoendesha huu mkutano ni WA South Afrika najiuliza yuko wapi kidoti Joket wetu
Ngumbaru mwenzetu Una hasira Sana. Kulikon? Kalaumu walezi/wazazi wako waliokataa kukupeleka shuleMkutano utafanyika utaisha
Hakuna lolote raia atafaidika zaidi ya viongozi kula posho za kufa mtu!
Boda na bajaj kulia njaa!
Watu wa catering kupiga hela za kufa mtu!
Kodi kutumika hovyo hovyo bila kujali!
Ujinga mtupu!
Wapo wale ma PhD wa heshima, wakatoe mada zao!Maprofesa wetu wapo wapi waelezee dunia tafiti zao za Nishati dunia? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
NB: PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana
Hawa wanaookotwa jalalani au unamzungumzia Professor Jay?Maprofesa wetu wapo wapi waelezee dunia tafiti zao za Nishati dunia? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
NB: PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana
Mtapata taabuPole
Tafiti za kuwasilisha humo sio za FACTORS AFFECTING........ Humo ni ki-run model mwanzo-mwisho. Hakuna ku-quote Ilani ya uchaguzi!!Kwani wamealikwa wakakataa?
Wameombwa kuandaa mawasilisho wakashindwa?
Hivi wanaweza kuhudhuria bila kualikwa?
Ha ha haPHD zetu za kukamatia watu wasigraduate kwa muda husika
Msijali tunakuja, mtatusikia.Maprofesa wetu wapo wapi waelezee dunia tafiti zao za Nishati dunia? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
NB: PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana
Kila nikiwasikiliza nao jamaa ni vyuma kweli kweli, kila mmoja kichwani yupo vizuri sana,Maprofesa wetu wapo wapi waelezee dunia tafiti zao za Nishati dunia? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
NB: PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana
Mbona kama hawakushirikishwa? Mkutano wenyewe ni wa WB lakini Serikali na ccm wameupora wakatanguliza kina KafulilaMaprofesa wetu wapo wapi waelezee dunia tafiti zao za Nishati dunia? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
NB: PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana