Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Hivi vyombo vingine vya habari huwa watumishi wake wanapatikanaje? maana licha ya kuongea mambo ya hovyo hata utamkaji wao maneno kwa baadhi ya wanahabari ni wakuchekesha, kwa mfano neno "hakuna" litatamkwa AKUNA, Habari wanatamka "ABARI" ikija majina ya nchi au wachezaji au timu au watu mashuhuri ndiyo utacheka ufie huko.
 
Lini walishawahi kuisifia CHADEMAwewe? linalozungumzwa hapa ni kumhukumu mtu kabla ya Mahakama hata Katiba yenye mapungufu Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa upendeleo pekee kwa Mahakama bila kuingiliwa na taasisi yeyote katika kutoa maamuzi.
 
Wajifunze kwa Sebo -- Magic FM sun-down yake -- haegemei kokote.
 
Mungu atatupigania mpaka Mwisho tutashinda hii vita ya ukombozi!!!!!!!!!!!!! aibu kwao magamba na aliyeukumu kesi hiyo Arusha, hasitaili kuwa katika chombo cha kusimamia haki
:becky:
 
Leo wanafiki wote wameumbuliwa mchana kweupeee... Ndio raha ya PIPOOZII....I...Pawaaa...a...
 
ICC itachukua wengi 2016 yule mwandishi wa Kenya leo anasota na ban ya ICC
 
Hawawezi kwenda kinyume...Toka juzi nilpomsikia Kussaga anasain deal na Mkutano wa Yanga...alijinasibu juwa amekuwa na uzoefu na kampuni yake ku-host mikutano!Kwani mkutano mkubwa wa CCM-TAIFA!Prime Time Promotion ndo ilipewa Tender ya kuandaa na kuufanya uwe vile ulivyo!
 
Waacheni hao vipofu wanaoongozwa na kiongozi wa vipofu aitwaye CCM. Media zetu ni aibu kwa kweli, ziko nyuma mno ya wakati na mahitaji ya Tanzania ya leo.

Ni changamoto kwa CHADEMA na asasi nyingine za kiraia kuanzisha media za ukweli zisizokuwa na hizi bias za kipuuzi.

Usitake kujua kesho watasema nini (hawana haya hao wala soni) coz wao wanachojali matumbo yao yashibe PERIOD.
 
Mnyonge mnyongeni wakuu, lakini mbona hamuongelei kuhusu Matamasha na Matangazo? wakati mnajazana hadi packing za magari zinakuwa lulu...
 
Hii ni redio ya magamba (CCM) ndo maana katika magazeti wanayosoma kila siku UHURU lazima liwepo na linasomwa kila page
 
Hakika kama kunachombo makini cha habari tz basi na vya IPP NA STAR MEDIA pengine na vingine lakini hakiwezi kuwa CLouSe fM( uandishi huu haujakosewa ni kuonesha mpangilio wa akili zao) . Jamaa ni wavivu wa kufikiri na huwa hawana hoja wanayolanga kuzungumza wanachofanya ni kukurupuka kuongea upuuzi ambao hawajafanyia tafiti. Na hii si kwa sababu hawapendi ila hawana waandishi wenye uwezo huo,wengi wao ni kula kulala ambao wamewekwa pale si kwa taaluma zao hapana,fikilia mtu anapata kazi kisha ndiyo asomee uandishi kwa wafanyakazi wa namna hii husije kutegemea habari yoyote ya maana toka vinywani mwao. Wameongea mengi ya kipuuzi waji.....a hawa. Tunawajua ni njaa zao na bosi wao na ndizo zinawapeleka hapo tunawajua upande wao hawatuumizi kichwa. Wamepewa studio kusimamia wameifanya yao kisa katoa swahiba wao kikwete. Nendeni zenu (cldz) siku hizi tunasikiliza na kupima,ukiongea upuuzi na ujinga wenu tunajua.
 
Hii ni redio ya magamba (CCM) ndo maana katika magazeti wanayosoma kila siku UHURU lazima liwepo na linasomwa kila page
nanukuu "sasa bwana Hando magazeti ya leo bwaana nikianza na UHURU KONGWE LA CHAMA CHA MAPINDUZI " DR.Slaa apumulia machine... " :becky:
 
Back
Top Bottom