Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Mbona wakiisifia CHADEMA hamsemi?
Wakisifia vibarua vinaota nyasi
Mbona wakiisifia CHADEMA hamsemi?
hapa nadhani mnawachafua clauds bure,tafadhali mfanye tena utafiti wa kina kujua mnachokisema kama ni sawa
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma.
Ombi langu kwa vyombo vya habari:
Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa.
Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..
Walihukumu mapema pasipo kujua vifungu vya sheria
Tujaribu kidogo kufikiria nje ya box,kuna siku clouds wanakandia ccm,na kuna sk chadema pia.Kwa leo sijaona kosa lao.Hando alikua tu anajaribu kupinga upotoshaji au ukuzaji habari usio na msingi.Saa nyengine magazeti yanakuza mambo bila msingi.That ws the point...mbona walimkomaliaga waziri maige wa ccm hadi akaondoka.
hapa nadhani mnawachafua clauds bure,tafadhali mfanye tena utafiti wa kina kujua mnachokisema kama ni sawa