Hakika kama kunachombo makini cha habari tz basi na vya IPP NA STAR MEDIA pengine na vingine lakini hakiwezi kuwa CLouSe fM( uandishi huu haujakosewa ni kuonesha mpangilio wa akili zao) . Jamaa ni wavivu wa kufikiri na huwa hawana hoja wanayolanga kuzungumza wanachofanya ni kukurupuka kuongea upuuzi ambao hawajafanyia tafiti. Na hii si kwa sababu hawapendi ila hawana waandishi wenye uwezo huo,wengi wao ni kula kulala ambao wamewekwa pale si kwa taaluma zao hapana,fikilia mtu anapata kazi kisha ndiyo asomee uandishi kwa wafanyakazi wa namna hii husije kutegemea habari yoyote ya maana toka vinywani mwao. Wameongea mengi ya kipuuzi waji.....a hawa. Tunawajua ni njaa zao na bosi wao na ndizo zinawapeleka hapo tunawajua upande wao hawatuumizi kichwa. Wamepewa studio kusimamia wameifanya yao kisa katoa swahiba wao kikwete. Nendeni zenu (cldz) siku hizi tunasikiliza na kupima,ukiongea upuuzi na ujinga wenu tunajua.