Hawana lolote wale watangazaji wote ni vilaza mwanzo mwisho na hawana taaluma eg. Dida na wenzake wengi.hapa nadhani mnawachafua clauds bure,tafadhali mfanye tena utafiti wa kina kujua mnachokisema kama ni sawa

Clouds mbona wanajulikana tangu siku nyingi! Fuatilia hata waandishi wao hawana taaluma ya uandishi wamekaa kihunihuni tuu!
Eg. Adam Mchomvu,Dida,Kibonde etc.Clouds mbona wanajulikana tangu siku nyingi! Fuatilia hata waandishi wao hawana taaluma ya uandishi wamekaa kihunihuni tuu!
Nimewasikia sana hasa yule gerald hando amekandia sana habari iliyoandikwa Tz daima, hukumu ya kihistoria kusomwa leo,nataka na kesho niwasikie watasemaje.aibu yao magamba hao
Lini uliwasikia?Mbona wakiisifia CHADEMA hamsemi?