hawa clouds nionachowaonea huruma ni kwamba wanapambana na nguvu kubwa ya umma kwani kipindi cha kampeni 2010 walimtukana sana joseph mbilinyi"sugu" na kuapa hata shinda ndo kwanza akashinda kwa kisjhindo kikubwa sana ! Kwa kura mara mbili ya ailizopata mbunge wa ccm. The same to john mnyika ubungo walimponda sana tena kibonde akitoa ushuhuda kwamba anaishi jimbo la ubungo mnyika haana kitu cha kulisaidia jimbo hilo eti kisa nyumbani kwake kibonde kuna shimo barabarani so ailihitaji mnyika akazibe kwanza ndo agombee.bt sasa amemgeukia mwanaharakati na rais wa arusha ambaye huhitaji kuwa mwanasiasa kujua anamvuto mkubwa wa kisiasa jimboni kwake na kwa tz kwa ujumla kwa ufupi ana uhalali wa kukubalika. Hivyo wanapaswa kujua watapotea wakipambana na nguvu ya umma, ikibidi wakae kimya waendelee na maandalizi ya birthday ya mh, jk hapo mwakani.ama wasubir kupewa tenda nyingine ya sound systeam ktk mkutano mkuu wa ccm 2017 kama itakuwa hai,,,,, ndo mana powerbreakfast ya kipanya,fina mango haikudumu kwani ilikuwa inaongozwa na watu waliohuru kifikra ama mtu kama kepten g,habash ndani ya jahazi siku zote aliongozwa na mawazo huru na hakuwah kutumika may be ndo mana waliondoka zao shame!!!! On radio ya wafu.