Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Jamani hivi humu ndani mnaweza mkakaa mnajadili hao wauza sura wa clous fm. Tatizo la wabongo tunapenda sana mipasho thats why mnaisikiliza hiyo radio. Hivi kazi zao huwa zinatangazwa wapi? Anaejua anijuze maana nina wasiwasi na weledi wao katika tasnia ya habari.
 
nadhani vyombo vya habari kama radio wanapaswa kuwa makini ktk utangazaji maana kujitangazia tu bila ya kufuata maadili ya kazi inaweza ikaivuruga jamii na kuleta matatizo kwa jamii nzima.
 
hawa madogo wanaboa sana hasa wanapoonesha wazi kuwa wapo upande wa chama fulani yle wanajua wazi kuwa wanasikilizwa na watu wa itikadi mbalimbali za kisiasa. naboeka sana kuwasikiliza hawa madogo...bora nisikilize akina tina marious na gea kwani wanaperform sehemu husika na kipindi wanakimudu ....
 
Radio ya Waaaaaaaaafuuuuuuuuuuuuuu.....titi...... jifunzeni Zambia mtapata shida sana cku wapinzani wakichukua nchi,pia kumbukeni wakenya wanaochunguzwa na ICC nchini kenya na mwandishi yupo..............................aibu kwenu failure nyie.....kasomeni acheni kuvizia UDC kwa kushabikia shida za wtz Pa...ya buku nyie...........
 
Clouds ovyooo! Na huenda wakawa wanafagilia CCM mafisadi!

Sio hili tu kunakipindi tena walishawahi kumkejeli kiongozi mmoja wa serikali! Mkomeee!

Inabidi TRA wawachunguze hawa jamaa inawezekana hawalipi kodi na njia ya kujifichia ni kuegemea upande wa CCM.
 
Hwa jamaa ni wa CCM tu wewe huoni walipewa tenda hata kurekebisha ukumbi wa kizota wakati wa mkutano mkuu sasa unadhani watafanya nini.
 
mwanachama hana haki ya kufungua kesi kwa niaba ya mbunge wa chama chake kama hili huyo jaji alikuwa halijui sitashangaa sana maana hata The Great Hon. Tundu Lisu aliwahi kusema bungeni kuwa kuna baadhi ya majaji ni vihiyo. maamuzi haya ya court of appeal yanaweka precedent ambayo itasaidia sana kama reference in the future. hongera sana majaji wa mahakama ya rufaa kwa kuusimamia ukweli na kuhakikisha kuwa haki inatendeka. maamuzi haya yananifanya niwakumbuke marehemu justice mwalusanya, justice lugakingira, kwa kutaja wachache, walisimamia haki kwa umakini na kutoa maamuzi ya kihistoria.
 
ukiunga doti, zzk anaitumia sana na pio ceo wake ndo walikuwa na zzk arusha wkt anataka kukutana na cia ben saa8
 
Helooo wafu fm!mnaoharibu mambo,sijui kwa nini?Wadau turejee ANTIVIRUS halafu tutaelewa Waf fm ni redio ya aina gani!
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma.

Ombi langu kwa vyombo vya habari:
Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa.

Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..
SAWA BANA Tungojee koment za wanazi wa magamba!!
 
Redio ya wafu...jamaa wanaipendekeza sana ccm... hasa kwa rais nadhani wanataka wateuliwe kuwa wakuu wa wilaya.
 
I don't remember last time nimesikiliza Clouds ni Lini...nilishawahama Long time..siku hizi mambo yote East Africa Radio!
 
Hawa clouds wengi wao ni wale vijana wanaopenda raha kiasi kwamba wapo tayari kuliwa tigo na mapedejee ili wanunuliwe bia sasa wamekuwa watangazaji.
 
Hawa clouds wengi wao ni wale vijana wanaopenda raha kiasi kwamba wapo tayari kuliwa tigo na mapedejee ili wanunuliwe bia sasa wamekuwa watangazaji.

ko wanaweza wakawa sawa na pm7 waliokua wanamwita ben saa8 manji kisa kuwanunulia msosi linchtime
 
Back
Top Bottom