Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
kiboko yao sugu waliye haha kumtafuta mpaka bungeni kuomba suluhu..
Sugu aliwaambia jeuri dawa yake ni kiburi! Hata msipopiga nyimbo zangu mimi nilianza enzi za AM!
kiboko yao sugu waliye haha kumtafuta mpaka bungeni kuomba suluhu..
Jiangalieni! Mnapoelekea sipo;umenena mkuu!
Hii aibu ni ya funga mwaka lakini hicho kinajulikana kabisa wa2 kama gelard na boss wake kusaga lazima watakuwa kwenye payrol ya ccm iliwaendeleze ushambega, mfano kibonde is typical pro ccm to kulinda kitumbua chake.Clouds mbona wanajulikana tangu siku nyingi! Fuatilia hata waandishi wao hawana taaluma ya uandishi wamekaa kihunihuni tuu!
That's chap chap media hawana weredi hata kidogo. They luck professionalism hawana contents kwenye habari zao. We sikiliza kuanzaia asubuhi mpaka usiku ndio utajua Clouds hawana contents ni full upuuzi ila jamii ya Kitanzania ndio inapenda kuambiwa upuuzi kama wa Clouds.
Ndio maana hawajatoa mwandishi au mtangazaji kwenda kwenye international media kama BBC au DW.
ikishindwa Chadema Mahakamani, kila mtu humu JF anasema Mahakama/Serikali ipo bias, wameionea. Basi inaposhinda Chadema, tusiishie tu kumpongeza aliyeshinda ila pia kuisifia Serikali/Mahakama kwa kutenga HAKI.
Ni hayo tu!
Nimewasikia sana hasa yule Gerald Hando amekandia sana habari iliyoandikwa Tz daima, hukumu ya kihistoria kusomwa leo,nataka na kesho niwasikie watasemaje.aibu yao magamba hao
Wate humu naona mna ushabiki mahaba tu na chadema,wambieni chadema waanzishe radio ili chadema isifiwe kuanzia asubuhi hadi jioni
mkuu nakuheshimu sana,ila hilo jina la huyo mtu uliyemtaja limenifanya niwe nauseated.naomba kujua taaluma zao wafanyakazi wa clouds FM, hasa shemeji yangu Kibonde (small valley)
Ndo wale ambao jamaa yao wanayemsifia aliwaita makanjanja!!! Akijua kuvaa earphones tu anajiita mtangazaji!!!Hivi waandishi na watangazaji wa kituo hiki wana taaluma gani? Kwao ushambenga na maneno ya jikoni kwa kwenda mbele!