Lema ni nani na mchango wake katika taifa la Tanzania? ubunge wake umenufaisha nn au umeleta ktk jimbo lake?
ikishindwa Chadema Mahakamani, kila mtu humu JF anasema Mahakama/Serikali ipo bias, wameionea. Basi inaposhinda Chadema, tusiishie tu kumpongeza aliyeshinda ila pia kuisifia Serikali/Mahakama kwa kutenga HAKI.
Ni hayo tu!
Mie nawashangaa wote wanaoishangaa radio hii hasa watangazaji wake.
Mshangao wangu kwenu ni kutoona haya:-
1. Jina la radio - kiingereza,
2. Majina ya vipindi - kiingereza,
3. Vipindi vinaendeshwa - kiswahili!
Tafakarini.
yah! Nikweli hawa jamaa wa clouds fm sijui wanatumia akili zipi bwana, binafsi niliwasikia wakihoji gazeti lililokua limeandika kuwa leo(jana hiyo) ni hukumu ya kihistoria,
walibeza sana kwamba lema ni nani na kwanini iwe hukumu ya kihistoria mpaka gazeti linafikia hatua ya kuripoti hivyo..nilikua sijawaelewa ila kwa uzu huu ndani ya jf nimewaelewa sasa na nimetambua wako upande gani na wanafanya kazi kwa minajiri ya nani.
Ombi langu kwao ni kwamba inabidi wabadilike, wengi wao bado ni vijana, wasitegemee maendeleo ya nchi yataletwa na polojo zao studioni; la hasha.
hawa clouds nionachowaonea huruma ni kwamba wanapambana na nguvu kubwa ya umma kwani kipindi cha kampeni 2010 walimtukana sana joseph mbilinyi"sugu" na kuapa hata shinda ndo kwanza akashinda kwa kisjhindo kikubwa sana ! Kwa kura mara mbili ya ailizopata mbunge wa ccm. The same to john mnyika ubungo walimponda sana tena kibonde akitoa ushuhuda kwamba anaishi jimbo la ubungo mnyika haana kitu cha kulisaidia jimbo hilo eti kisa nyumbani kwake kibonde kuna shimo barabarani so ailihitaji mnyika akazibe kwanza ndo agombee.bt sasa amemgeukia mwanaharakati na rais wa arusha ambaye huhitaji kuwa mwanasiasa kujua anamvuto mkubwa wa kisiasa jimboni kwake na kwa tz kwa ujumla kwa ufupi ana uhalali wa kukubalika. Hivyo wanapaswa kujua watapotea wakipambana na nguvu ya umma, ikibidi wakae kimya waendelee na maandalizi ya birthday ya mh, jk hapo mwakani.ama wasubir kupewa tenda nyingine ya sound systeam ktk mkutano mkuu wa ccm 2017 kama itakuwa hai,,,,, ndo mana powerbreakfast ya kipanya,fina mango haikudumu kwani ilikuwa inaongozwa na watu waliohuru kifikra ama mtu kama kepten g,habash ndani ya jahazi siku zote aliongozwa na mawazo huru na hakuwah kutumika may be ndo mana waliondoka zao shame!!!! On radio ya wafu.
si hilo tu mkuu; hata kipindi cha mgomo wa madaktari; kuna mtangazaji mmoja alishoboka sana akiwaponda madaktari. Nilipojaribu kudodosa madaktari wenyewe kwa kweli mgomo wao ulikuwa ni kwa faida ya umma. Wanadai kuna wagonjwa wanawafia mikononi kwa kukosa vifaa muhimu vya kuwahudumia wakati serikali inajikita kwenye kuagiza nguzo za umeme nje ya nchi na miti tunayo hapa kwetu; kwa jibu hilo sikuwa na swali la nyongeza.... Ccm tumeichoka, clouds fm tumeichoka.
hawa clouds fm hawana tofauti na magazeti ya udaku, ni waxenge 2! Especially hawa jamaa wa power break fast na kibonde.
ataweza wapi yule!
alijidai kufafanua fafanua nikajua tu anafukia mabonde ya asubuhi