Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

ninawaunga mkono clouds tena mumuogope hata mungu kwa mnacho wasingizia sijasikia hata mwandishi yeyote aliyembeza au kumponda mbunge mheshimiwa Lema walichokizungumzia ni kichwa cha gazeti la Tanzania Daima ya kwamba kesi ya kihistoria .walichosema ni kweli kwani ni watu wangapi wamefutiwa ubunge sio juzijuzi ambapo mnyika alishinda si juzi tu halima mdee alishinda kama wangekuwa na nia mbaya na chadema wangeponda hata hizo kesi tuwe tunasikiliza vizuri nimefurahishwa sana na ushindi wa lema kwasababu nchi yetu imeanza kukua kidemokrasia lakini tusiwe tunazungumza kwa ushabiki
 
Kwanza nyie ndio mmenikumbusha kuwa kuna redio kama hiyo tatizo wanahamrishwa na ccm wasiotii wanatishwa kama sunrise fm
 
wasameheni bure wapo hapo walipo kwa nguvu ya CCM, bila kuwalamba miguu magamba hawaishi.!!
 
Hivi waandishi na watangazaji wa kituo hiki wana taaluma gani? Kwao ushambenga na maneno ya jikoni kwa kwenda mbele!

Kwani akina KIbonde wana taaluma yeyote au ni wapiga domo tu!!! Siku hizi ukiweza kupiga domo mambo mazuri... kuna Radio DJ America analipwa kama 80 million a year kwa kupiga domo tu............. Lakini yeye anapiga domo lenye sense siyo kama akina Kibonde wetu.
 
hivi hiyo redio tokea waanze kujipendekeza CCM wamewai kutoa hata mkuu wa wilaya, au faida yote anakula Ruge.??
 
Ikumbukwe yakwamba kila mtu anafanya kazi kwa malengo,Clouds wamejiwekea malengo yao 2015 wapate viti maalum 2,na dc mmoja na ajalishi vitapatika kwa njia ipi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
cloud fm hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,nayo ni radio waliopo kule wengine walifukuzwa ITV kwa ulevi.
 
ninawaunga mkono clouds tena mumuogope hata mungu kwa mnacho wasingizia sijasikia hata mwandishi yeyote aliyembeza au kumponda mbunge mheshimiwa Lema walichokizungumzia ni kichwa cha gazeti la Tanzania Daima ya kwamba kesi ya kihistoria .walichosema ni kweli kwani ni watu wangapi wamefutiwa ubunge sio juzijuzi ambapo mnyika alishinda si juzi tu halima mdee alishinda kama wangekuwa na nia mbaya na chadema wangeponda hata hizo kesi tuwe tunasikiliza vizuri nimefurahishwa sana na ushindi wa lema kwasababu nchi yetu imeanza kukua kidemokrasia lakini tusiwe tunazungumza kwa ushabiki

Na wewe ndo wale wale akina vilaza, kama hujasikia si bora unyamaze.... ?
Nanukuu baadhi ya maneno "Hawa jamaa wanaotoka Arusha kuja kusikiliza kesi hawana kazi ....."
Huyu mtangazaji anashindwa kukumbuka kuwa hawa jamaa waliotoka harusha ndo hao hao waliompigia kura Lema then ushindi huo ukapindishwa .....
Haikuwepo haja ya kuwabeza eti hawana kazi. Alitaka wote wawe ma-MC kama yeye?
 
Tatizo watangazaji wa kipindi cha power breakfast wanaishi kwa mlungula.ni watu wa kutegemea kupewa kitu kidogo ili wawasifie watu flani.Wale washapewa kamohogo chao ndio maana walikuwa hawajui walitendalo.Sio redio ya kusikiliza kwa zama hizi.shame on them.

Umemaliza mkuu! kumbe ndivyo walivyo.
 
Kama kulivyo na magaziti Ya 'UDAKU' pia kuna Radio station za 'UDAKU' na mfano hai ni CLAUDS FM.
 
Ile ni TBCCM namba 3 kama mlikuwa hamjui. hata waheshimiwa wengi kama mnafuatilia siku hizi wanapokuwa na matamko ya kiserikali badala ya kutumia vyombo vya Taifa ambavyo tunavilipia kodi, siku hizi imekuwa ni fashion kwenda CLOUDS sasa sielewi kama ndiyo maelekezo toka majuu au vipi!
Kwa lugha nyepesi siku hizi ndicho chombo cha propaganda cha CCM.
 
Hasa kunajamaa anaudhi sana ambaye yeye huonyesha wazi kuwa analipwa na CCM kwa ajili ya kusimulia habari za udaku za magazeti mawili ya LUMUMBA yaani UHURU na JAMBOLEO , ila magazeti makini yote huwa anapita tu!
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma.

Ombi langu kwa vyombo vya habari:
Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa.

Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..





Aibu yao!!!!!!
 
Clouds ni kituo cha wahuni waliojikusanya kwa kazi maalumu ya kufanya ujinga. Fuatilia watangazaji wake namna wanavyoongea, kuvaa nk. Hawana tofauti na madada poa na makaka poa. Stupid Clouds Fm.
 
Hawana maana,Gerald Hando nina wasiwasi sana na kiwango chake cha elimu,kwa PJ sina tatizo nae,yeye ni mweledi.
 
Umefika wakati waziri wa habari(dk.Fenella Mkangara) aangalie mfumo mzima wa utangazajiHii radio station if u opt to tune be careful that ur mum/father-in-law or parents as well are not around..!Neno lolote linatoka without even digesting.
 
Wakuu mbona hamkuwapondea hao Clouds pale walipofanya birthday ya pamoja ya redio yao na ile ya ukumbi wa Disco wa mwenyekiti?

Mimi naona kama hao watangazaji walimpondea Lema basi hayo yaonekana ni maoni yao na siyo ya Redio.
 
Back
Top Bottom