Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Imewahi nitokea chuo test ya IT practical, nko na karatas ya maswali na computer, maswali yakawa hayaendi, computer naiona ya moto, nilipanic nikapata hofu ya kupata zero, ukizingatia sina record ya kupata zero, ghafla nilihisi hisia flan nkapiga bao moja tamu sana, japo nilipambana kulizuia lakin wapi, baada ya kupiga bao nikapata na akili ya kuforge, ile kumaliza paper suluari imelowana hatarii, ikabdi nikaote jua kidogo ndio nikakimbia geto kubadiri suluari. Hili bao ni tamu sana huwa naomba linitokee tena
Hahahahaaaaa,hiyo fedheha isikukute mbele ya kadamnasi!Ni hatari!
 
Swali la nyingeza, vipi kama mwanamke mjamzito au amabye hajafikia muda wa kupevuka anapokuwa ktk hali hiyo?
Sidhani kama kuna msichana yoyote anafika secondary bado hajapevuka, ukizingatia kizazi cha dotcom wanapevuka mapema....
 
Imewahi nitokea chuo test ya IT practical, nko na karatas ya maswali na computer, maswali yakawa hayaendi, computer naiona ya moto, nilipanic nikapata hofu ya kupata zero, ukizingatia sina record ya kupata zero, ghafla nilihisi hisia flan nkapiga bao moja tamu sana, japo nilipambana kulizuia lakin wapi, baada ya kupiga bao nikapata na akili ya kuforge, ile kumaliza paper suluari imelowana hatarii, ikabdi nikaote jua kidogo ndio nikakimbia geto kubadiri suluari. Hili bao ni tamu sana huwa naomba linitokee tena
 
Sidhani kama kuna msichana yoyote anafika secondary bado hajapevuka, ukizingatia kizazi cha dotcom wanapevuka mapema....
Ni kweli ila hofu ya mitihani anaweza pata yeyote hata mtoto wa std 3 au 4. Sina hakika ni nini hasa huwakuta wenye hofu kama hizi na hawapo ktk hali ya kuejaculate au kuingia MP je nini huwakuta?
 
Ni kweli ila hofu ya mitihani anaweza pata yeyote hata mtoto wa std 3 au 4. Sina hakika ni nini hasa huwakuta wenye hofu kama hizi na hawapo ktk hali ya kuejaculate au kuingia MP je nini huwakuta?
Hapo sijui mkuu.
Kwa upande wangu hofu imeanza nikiwa sekondari na nikiwa nishapevuka, ila kipindi nipo primary sijawahi kupatwa na hofu yoyote kwenye mtihani
 
Haya na wanawake wao huwa wanafanya nini?
 
Nimepiga mabao sana.

1- Kulikua na paper chuo ya AutoCad, nilikua na laptop ipo kama desktop lazima iwepo kwenye chaji muda wote.. Nimekaza kufanya maswali mawili maana yalikua matatu, jamaa sijui alitokea wapi akachomoa waya wangu wa pc na nilikua sijasave.. Lilinitoka tusi moja 'kum***make' nikapiga na bao hapo hapo..

2- Nilikua napiga paper la Physics Necta Form 4, kila nikigeuza paper sioni swali la kuchomokea.. Mamaee hapo muda unakwenda msimamizi kusema imebaki lisaa limoja na hapo sijafanya hata swali moja, nikasikia kautamu kanakuja.. Kujibana wapi, nilipiga bao hadi nikasimama.. Watu wanashangaa huyu vipi, ikabidi wasimamizi waje.. Kuniuliza kulikoni, nikawaonyesha kwenye suruali nilipopigia bao... Wakabaki wakicheka tuu...!!!
 
Ndio mkuu,jamaa alikuwa anapenda kuvaa suti chini raba kali!Halafu umkute kaweka miwani nyeusi,mzee alikuwa kaksi sana!Academic alikuwepo Inkya,jamaa babe sana!Alikuwa anafundisha mechanical draft,ukienda kusaini masomo utakayofanyia mtihani,ukiruka mechanical draft basi unakula kofi moja takatifu!
Mkuu umenikumbusha mbali sana mbabe nkya now ameshastaahafu
 
Kitu cha Engineering mechanics,mambo ya "truss" kuwatambua "zero member"!Lazima ushushe mzigo
Mzee hatari ...nishawahi freezy kwenye test ya digital communications ....!!! Daaah msala mkuu bwete...
 
Back
Top Bottom