Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,572
- Thread starter
- #101
Hahahahaaaaaa!Kazi kweli kweli,kama mtu hajapitia changamoto mpaka akapiga bao basi huyo hajapata changamoto!Nikilikumbuka lile bao hatari sana niltamani hata ile room iwe na cctv camera ningeenda kuomba nione nilivyopambana kulizuia lile bao.
Maana nilitumia kila njia mara kukunja miguu mara najikuta nimepana mapaja aisee nikasema nisije kufa kwa kuzuia ili bao.
Yote hiyo nilikuwa nawaza juu ya nguo maana ningeaibika osema nilikuwa nimevaa boxer, bukta na jeans nzito ila bao lilipenya kidogo
