Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Leo wakati napitia mitandao kupata habari za asubuhi,nimekutana na mtu anaeleza kuwa kufikiri maisha kumemfanya apige mshindo!
Hii imenikumbusha story yangu nikiwa kidato cha 4!Nikiwa kwenye mitihani ya NECTA nakumbuka kuna mtihani mmoja wa Engineering science(Kwa wale waliosoma technical schools wanalielewa somo hili) niliingia nikiwa na hofu sana!Tulikuwa na utamaduni wa kuanza section ya mwisho ambayo ilikuwa na maswali yenye marks nyingi lakini conceptual na tricky questions!Nilipoanza kuyasoma,nikaona kama yote hayatembei!!!!Hofu ikaongezeka,basi nikiwa kwenye hali ya panic,ghafla nilipata hisia fulani(siwezi kuielezea) na ndani ya sekunde chache nikajikuta nimepiga bao moja zito ikiambatana na sauti ambayo hata siikumbuki!Wanafunzi wengi waligeuka kuniangalia kulikoni,mpaka msimamizi akanifuata na kuniambia niende nje kupunga upepo kidogo maana jasho lilikuwa likinitoka na ni asubuhi!
Nilienda nje na kutulia na niliporudi nikawa niko calm,nilisoma tena yale maswali na kuyaona ya kawaida tofauti na awali!!!!

Mpaka leo sijawahi kuuliza wataalamu juu ya hali hiyo!Ila nikiri wazi kuwa sijawahi kupiga bao tamu kama lile nikiwa na mwanamke,it was exceptional kwakweli!!!!!
chezea Engineering science wew.....watu wa Bwiru tech tunaujua mziki wake
 
hii hali huwa inatokea aiseeee na huwezi kuzuia
 
ko wanaume mtihan mgumu au hausomeki mnafika kileleni? 😱
 
ko wanaume mtihan mgumu au hausomeki mnafika kileleni? 😱
Kilele cha hatari!!!Yaani linakuwa murua kabisa,linaondoa stress zote na unarudi kuwa normal!Only the lucky ones ndio wanapata hii fursa!
 
Ilimtokea Mshikaji wangu tukiwa Kidato cha Pili , siku hiyo tulikuwa tunafanya Mtihani wa Kemia. akanihaditia nikamcheka sana ikaja zamu yangu Kidato cha 4 tunafanya mtihani wa Lugha ya Watumwa; tumefanya Mtihani kama dakika 10 mie nimemaliza swali 1 pekee mara msimamizo akaropoka bado dakika 5 walah Darasa zima tulichanganyikiwa, mie nikafunga goli na nikaamua kulala kama dakika 20. Baadae alitengua kauli!
 
Hahahahaaaa,na usingizi juu!!!!!
 
Back
Top Bottom