Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Mkuu mi nilipiga Mazengo,then Moshi tech!
Hii kitu ni sahihi na hutokea kwa wale wasongo pekee! Mie nilikuwa Mazengo Tech kwenye somo la Technical drawings ilikuwa imebakia nusu saa na mchoro nilikuwa naweza kuufanya ila tulikuwa tunatakiwa kuchora kwa vipimo plan view, front elevation na rear view! Acha kabisa hii story imenikumbusha mbali sana! Ukereketwa wa masomo ni changamoto mashuleni!
 
Inaonekana ulikuwa unakaa ujamaa na sudani ndipo ulikuwa unaenda kuvutia cha Arusha!Hahahaaaaa!
 
Hii ilishawai kunitokea Chuo kwenye test ya company law haaaaaah patamu sana
 
Inaonekana ulikuwa unakaa ujamaa na sudani ndipo ulikuwa unaenda kuvutia cha Arusha!Hahahaaaaa!
Nilikuwa nakaa azimio kaka! Sivuti sigara wala nini mkuu! Ila nilikuwa mkereketwa wa hatari nashukuru nilitoboa!
 
Bao huwa linapigwa ukiwa na wasiwasi na kitu unacho kifanya
 
Nimecheka hadi machozi yamenitoka

Kumbe unaweza kutoka machozi kwa kucheka.. sasa ule ugangwe ulikuwa nao humu kumbe ulijibandika tu.. huku upo na uzuri fulani moyoni.. duh.. haya jifute machozi basi.. ila 🤣🤣🤣🤣

Utakuwa mliaji kwenye mengi wewe.. hawa wamekukuna eeeh.. dunia
 
ulimtamani msimamizi inaonesha kabisa..
Leo wakati napitia mitandao kupata habari za asubuhi,nimekutana na mtu anaeleza kuwa kufikiri maisha kumemfanya apige mshindo!
Hii imenikumbusha story yangu nikiwa kidato cha 4!Nikiwa kwenye mitihani ya NECTA nakumbuka kuna mtihani mmoja wa Engineering science(Kwa wale waliosoma technical schools wanalielewa somo hili) niliingia nikiwa na hofu sana!Tulikuwa na utamaduni wa kuanza section ya mwisho ambayo ilikuwa na maswali yenye marks nyingi lakini conceptual na tricky questions!Nilipoanza kuyasoma,nikaona kama yote hayatembei!!!!Hofu ikaongezeka,basi nikiwa kwenye hali ya panic,ghafla nilipata hisia fulani(siwezi kuielezea) na ndani ya sekunde chache nikajikuta nimepiga bao moja zito ikiambatana na sauti ambayo hata siikumbuki!Wanafunzi wengi waligeuka kuniangalia kulikoni,mpaka msimamizi akanifuata na kuniambia niende nje kupunga upepo kidogo maana jasho lilikuwa likinitoka na ni asubuhi!
Nilienda nje na kutulia na niliporudi nikawa niko calm,nilisoma tena yale maswali na kuyaona ya kawaida tofauti na awali!!!!

Mpaka leo sijawahi kuuliza wataalamu juu ya hali hiyo!Ila nikiri wazi kuwa sijawahi kupiga bao tamu kama lile nikiwa na mwanamke,it was exceptional kwakweli!!!!!
 
Engineering Drawing(Autocad Software) ilinifanya nipige bao jepesi ndani ya paper.

Zamani nilikuwa nasikia kwa wana hii issue ila ilipokuja nitokea ndio niliamini.

Paper ilikuwa masaa matatu kwa kawaida nilikuwa na speed sana kwenye hii drawing sasa nimeingia kwenye paper hivi ile siku kila kitu nakiona chepesi mno nikasema kimoyo moyo leo dk zero namaliza.

Nikajikuta nimekwisha tumia saa moja na nusu hafu sioni nilichofanya mara mwili wote nikaona kama unaenda mbio hivi mara mbao najaribu kujizuia hivi nikashindwa kabisa.

Ila baada ya kupiga bao pale(Bila kupenda) nikamaliza paper fresh kabisa ila ilinibidi niongeze niwe na speed ya light.

Nikaja kuona hii inatokea pale unajua kila kitu halafu unaona unashindwa kufanya /kutatua kutokana unaona upo nyuma ya muda
nakubaliana na wewe maana na mimi nilishawahi ku experience the same situation...wakati nipo advance..niliingia kwenye test ya kiswahili nikakuta mwalimu ametoa mule mule nilipokuwa nimesoma..

nikasema hapa lazma niondoke na banda..basi nikajibu maswali kwa maelezo mengi ya kina na mbembwe zote (wazee wakukariri hapa nadhani tunaelewana)..kujakustuka mwalimu anatangaza bado ddk tatu..alafu nikiangalia sijajibu swali moja la marks 20 ambalo nlikua nalijua..aisee nilipanic balaa nikaanza ku andika haraka haraka...kidogo mwalimu akasema muda umeisha kusanyeni karatasi..watu wakanyanyuka wakakusanya...mimi nikawa bado naandika

ile ametoka tu nje, watu wameshaanza kutawanyika, makelelekelele naniiniii..aisee uwoga ulizidi mwili ulikufa ganzi ghafla nikasisimka mwili mzima nikajikuta napiga bongee la baoo..nikasimama chap nikamkimbizia mwalimu karatasi yake ofisini akanizingua kidogo akaipokea..nikatoka hapo nikaenda moja kwa moja bwenini maana nililoanisha suraali balaa..

kuacha swali unalolijua kwenye mtihani kisa muda umeisha inaumaa sana aisee..nilitamani kusimamisha muda.
 
Mie nilijua ni mimi tu hunitokea, nilifikiri nina matatizo, kumbe ni kawaida imenitokeaga mara nyingi sana kwenye mitihani, pia kuna siku taxi ilichelewa kuja kunichukua niwahi basi ubungo, nikahisi nachelewa nilipiga bao alfajiri hiyo, ila kiukweli ikikutokea hii ni raha sana
 
Nilikuwa nakaa azimio kaka! Sivuti sigara wala nini mkuu! Ila nilikuwa mkereketwa wa hatari nashukuru nilitoboa!
Poa poa,mimi nilikuwa nakaa Muungano!Unakumbuka kitu cha PE?Ile gonjwa ya maeneo kutokana na beach kufurika?
 
Mie nilijua ni mimi tu hunitokea, nilifikiri nina matatizo, kumbe ni kawaida imenitokeaga mara nyingi sana kwenye mitihani, pia kuna siku taxi ilichelewa kuja kunichukua niwahi basi ubungo, nikahisi nachelewa nilipiga bao alfajiri hiyo, ila kiukweli ikikutokea hii ni raha sana
Hahahahaaaaaa,au ulijichelewesha makusudi ili upige kitu!
 
Back
Top Bottom