Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Nimepiga mabao sana.

1- Kulikua na paper chuo ya AutoCad, nilikua na laptop ipo kama desktop lazima iwepo kwenye chaji muda wote.. Nimekaza kufanya maswali mawili maana yalikua matatu, jamaa sijui alitokea wapi akachomoa waya wangu wa pc na nilikua sijasave.. Lilinitoka tusi moja 'kum***make' nikapiga na bao hapo hapo..

2- Nilikua napiga paper la Physics Necta Form 4, kila nikigeuza paper sioni swali la kuchomokea.. Mamaee hapo muda unakwenda msimamizi kusema imebaki lisaa limoja na hapo sijafanya hata swali moja, nikasikia kautamu kanakuja.. Kujibana wapi, nilipiga bao hadi nikasimama.. Watu wanashangaa huyu vipi, ikabidi wasimamizi waje.. Kuniuliza kulikoni, nikawaonyesha kwenye suruali nilipopigia bao... Wakabaki wakicheka tuu...!!!
Hahahaaa
 
Huku nafikiri nimepotea njia,,, nimeingia choo cha primary school. sisi watumishi vigogo wa Serikali hapatufai hata kidogo.
 
Ilishatokea nikiwa kwenye mtihani wa moko kidato cha nne,baada ya somo nililokuwa nalipenda likaja ndivyo sivyo...ndio hiyo hali ikanikuta.
 
Google spontenoius ejaculation utapata research nyingi zinazoangazia swala hili. Hii inatokea mtu anapokuwa na pressure na panic ya ajabu ambapo mwili katika hali ya kujinasua inafanya ejaculation kama njia ya kupunguza stress.

Ni automatic na mara nyingi haimbatani na raha kivile.
 
Mkuu hilo bao lina raha sana
 
Kuna washkaji kama wawili washatokewa na situation kama hyo kwenye paper.
 
Sawa mkuu vp na ww ilishawah kukutokea hili swal la orgasm ktk exam?
Nimejieleza huko juu, Imenitokea mara 2 baada ya kuona muda umeisha na sijamaliza maswali, ila ni tamu sana
 
Leo wakati napitia mitandao kupata habari za asubuhi,nimekutana na mtu anaeleza kuwa kufikiri maisha kumemfanya apige mshindo!
Hii imenikumbusha story yangu nikiwa kidato cha 4!Nikiwa kwenye mitihani ya NECTA nakumbuka kuna mtihani mmoja wa Engineering science(Kwa wale waliosoma technical schools wanalielewa somo hili) niliingia nikiwa na hofu sana!Tulikuwa na utamaduni wa kuanza section ya mwisho ambayo ilikuwa na maswali yenye marks nyingi lakini conceptual na tricky questions!Nilipoanza kuyasoma,nikaona kama yote hayatembei!!!!Hofu ikaongezeka,basi nikiwa kwenye hali ya panic,ghafla nilipata hisia fulani(siwezi kuielezea) na ndani ya sekunde chache nikajikuta nimepiga bao moja zito ikiambatana na sauti ambayo hata siikumbuki!Wanafunzi wengi waligeuka kuniangalia kulikoni,mpaka msimamizi akanifuata na kuniambia niende nje kupunga upepo kidogo maana jasho lilikuwa likinitoka na ni asubuhi!
Nilienda nje na kutulia na niliporudi nikawa niko calm,nilisoma tena yale maswali na kuyaona ya kawaida tofauti na awali!!!!

Mpaka leo sijawahi kuuliza wataalamu juu ya hali hiyo!Ila nikiri wazi kuwa sijawahi kupiga bao tamu kama lile nikiwa na mwanamke,it was exceptional kwakweli!!!!!
Utakuwa ulisoma Complex nini. Mazengo
 
Ulisoma tech gani mzee
 
Nna rafiki zangu wawili wamewahi kunihadithia mmoja ilimtokea mtihani wa shule ya msingi na mwingine sekondari.

Engineering Science, somo langu pendwa kuliko masomo yote nikiwa na G.R.A Titomb pembeni utaniambia nini?

Mwaka wetu tuliletewa mtihani wa Electical Drafting wa ajabu sana, kwanza walichelewa kuutuma ukaja mchana tena kwa fax, pili tulitegemea utakua nyanya kama kawaida, baada ya kugawiwa karatasi za maswali nakumbuka nilipotoka nilisema hapa ntapata Banda au Mswaki, haingewezekana kupata katikati, yaani ni A au F. Nashukuru mambo yakaenda vizuri. Huu ndio mtihani pekee ningeweza kutokewa na hali kama hiyo, kama haikutokea siku hiyo, haitatokea tena.
Draft nilipiga A safi tena matata napenda sana kuchora
 
Back
Top Bottom