mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Katibu mwenezi chaputa sajili memba huyu
Hapana mkuu, nafikiri ni hofu ilisababisha, ila ni tamu hadi unatamani ikutokeeHahahahaaaaaa,au ulijichelewesha makusudi ili upige kitu!
Je hii hofu inayoanbatana na hicho kitendo ni kwa jinsia moja tuu ? Upande wa pili unajuwaje?Ugumu wa paper unasabisha hofu ya kufeli hadi inapelekea kuziona nyavu
Nyepesi nyepesi ni kuwa huwa wanaingia MP ghafla tu!Je hii hofu inayoanbatana na hicho kitendo ni kwa jinsia moja tuu ? Upande wa pili unajuwaje?
Shule gan mkuu?Umenikumbusha necta yetu ya form six...tumeingia kwenye practical ya chemistry,jamaa akawa anafanya titration huku haoni colour change mpaka acid yote inaisha kwenye burrete..nikaona suruali yake imelowa kwa mbele,nikashtuka..baadae akajakutuambia kuwa alipizi...
hapo ndio mtajua umuhimu wa kufoji, watu tulikuwa tunaingia lab tayari yunajua titre volume kama ni 25, tukifika nifungulia acid kama bomba mpaka 23 hivi ndio tunaendelea mdogo mdogo, kitu inakubali fasta wasimamizi wakawa wanacheka maana nahisi waligundua kuna namna si burePractical ya chemistry mwaka 2014 pia kupata colour change ilikua ni noma mzee mtu masaa matatu yameisha ndio et inachange![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio hivyo,ukishajua sample umemaliza mchezo,unapiga hesabu unapata volume ndio unatiririka!hapo ndio mtajua umuhimu wa kufoji, watu tulikuwa tunaingia lab tayari yunajua titre volume kama ni 25, tukifika nifungulia acid kama bomba mpaka 23 hivi ndio tunaendelea mdogo mdogo, kitu inakubali fasta wasimamizi wakawa wanacheka maana nahisi waligundua kuna namna si bure
Anhahhahahahaaaa....Mie nilijua ni mimi tu hunitokea, nilifikiri nina matatizo, kumbe ni kawaidaimenitokeaga mara nyingi sana kwenye mitihani, pia kuna siku taxi ilichelewa kuja kunichukua niwahi basi ubungo, nikahisi nachelewa nilipiga bao alfajiri hiyo, ila kiukweli ikikutokea hii ni raha sana
Hapo inatakiwa wao watueleze kwa upande wao aiseeJe hii hofu inayoanbatana na hicho kitendo ni kwa jinsia moja tuu ? Upande wa pili unajuwaje?
Je hii hofu inayoanbatana na hicho kitendo ni kwa jinsia moja tuu ? Upande wa pili unajuwaje?
Hilo nimewahi kulisikia piaNyepesi nyepesi ni kuwa huwa wanaingia MP ghafla tu!



Swali la nyingeza, vipi kama mwanamke mjamzito au amabye hajafikia muda wa kupevuka anapokuwa ktk hali hiyo?Nyepesi nyepesi ni kuwa huwa wanaingia MP ghafla tu!
Swali la nyongeza sio la kisera!Waheshimiwa tuulize maswali ya kisera!Swali la nyingeza, vipi kama mwanamke mjamzito au amabye hajafikia muda wa kupevuka anapokuwa ktk hali hiyo?
Halafu ya hivyo yanakuwa na ujazo wa mls 100!Kitaalamu wanasema ukishapasia nyavuni ndio brain inatulia unajibu maswali fresh msala ni how to stand up
Hahahahaaaaaaa,ulitisha sana!Sio kwenye mtihan lakini,
Ilikuwa ni safari ya kuvuka mikoa kadhaa hivi hadi kufika nyumbani, pale kwenye usukani alikaa kijeba fulani mwenye miraba minne, alivyojazia misuli ya mikoni na ile ya kifuani nilikua sina mashaka naye juu ya umahiri wake wa kuendesha, kwenye spika kuukuu za lile gari zilikuwa zinapigwa nyimbo za mista naisi mwanzo mwisho, ( kuku kapanda baiskeli sijui fagiliaaa fagilia bongo wawaaaa) pembeni ya siti yangu amekaa mrembo hivi kwa mazungumzo ya hapa na pale niligundua kuwa mwanachuo wa chuo fulani huko daslam, sasa alikuwa ananiongelesha domo zege mimi huku akitupia na misamiati ya kiingereza cha hapa na pale mimi niliona kama ananinyanyasa tu, si unajua tena hawa dada zenu wasomi wakianza kuongea unaweza hisi anajidai kumbe wasiwasi wetu tu na kutojiamini, hapo kumbuka kichwani nina mawazo yangu ya kudhurumiwa mzigo wangu wa mbao niliopeleka mjini na hawa jamaa wanaojiita maliasili kisa tu kibali kimeisha tarehe ya jana na documents za kuenda kuuhuisha wamezikataa, ashukuriwe dalali aliyenikopesha nauli ya kuridia nyumbani,
Katikati ya wimbi zito la mawazo nikasikia dereva anasema ayaaaaa, gari iko spidi mwenye kuomba kifo chema anaomba, mwenye kukemea anakemea, MUNGU na AHIMIDIWE MILELE, gari ikasimama salama kabisa, nikasikia yule dada ananinong'oneza sikioni " pole kaka" huku akinifunika na kipande cha kanga hapa mapajani, kuangalia naona pamelowana mlowano usio wa mkojo, nijavuta hisia kidogo kumbe ile katikat ya purukushan kuna raha flan nilikuwa naisikia hadi nikaanza kuwaza kumbe mbunguni kuna raha hivi, nilijua nimeshakufa hapo( kumbe napiga goli matata sana huku huyu binti mrembo akishuhudia, wangekuwa hawa Madada ya smatifoni angenirekodi kabisa anitupie humo instagiramu) nilijisikia tabu sana, hata kumwangalia yule dada nilikuwa najisikia aibu vilivyo, bahati nzur hawa wasomi ni waelewa sana kwa BAADHI ya mambo, kama upo humu nitafute nikulipe hata asante mana kukulipa wema wako umezidi thamani zote