Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Hiyo hali nadhani hutokea pale mtu anapokuwa amepanic kupita kiasi sasa mwili unapojaribu kujirudisha katika hali yake mtu kupiga bao nikitu cha kawaida.

Mimi hii hali ilinitokea nikiwa chuo lakini sii kwenye chumba cha mtihan nilikuwa block D nimelala mchana huku nafanya forex nilikuwa na mtaji wa dola 300 nakumbuka nilipata profit dola 600 jumla nikawa na dola 900 mida ya saa 1 usiku nikaenda cafe nikala then nikarudu kutrade daa usingizi ukanipitia nikashituka muda kama wa saa 6 asee nikakuta market imenigeukia nilikuwa nimeweka lot ya 0.5 nikakuta kama neg 700 asee nilichanganyikiwa sikuamini macho yangu nilijikuta napiga bao kidogo akili ikatulia nikahisi labda mimi ni mgonjwa ila nilikuja elewa baadae.
Uko sahihi mkuu.
Panic ndio chanzo kikubwa
 
Kabisa mkuu, mwili una "defending mechanisms" dhidi ya stress/maumivu yanayokuja ghafla na ndio maana watu wengine huzimia, wanawake huingia kwenye siku zao nje ya ratiba kabisa, na wanaume hupizi hata kama huna nguvu za kiume hahaha
 
Form 1 swali lilisema mention and explain types of family. Nika mention, baadae naona ile explain, nikakata, ile nataka kuanza kuandika teacher akasema bado dakika 5. Nilitetemeka mikono haiandiki. Nikajisikia raha ya ajabu. Baadae nikaona vitu vyeupe kwenye boxer , jamaa kuwauliza wakaniambia ndo bao hilo
we jamaa bana yani Civics ya form1 ndo ikufanye upige bao wakati wenzako wanaongelea engineering science,Additonal Maths,Machemistry😂 watu kama nyie ndo mnasababisha rushwa isiishe bongo😂
 
Umenikumbusha necta yetu ya form six...tumeingia kwenye practical ya chemistry,jamaa akawa anafanya titration huku haoni colour change mpaka acid yote inaisha kwenye burrete..nikaona suruali yake imelowa kwa mbele,nikashtuka..baadae akajakutuambia kuwa alipizi...
We ni graduate wa 2014?
 
Wanafunzi viumbe wa ajabu Sana. Ndio maana yule dogo aliyehojiwaga pale clouds TV miongoni mean sababu iliyomfanye awe bwabwa ni kuona mwenxie akikojoa akaanza kutamani anakojolewa matakoni. Haya Mambo yanaanzia huko
 
Zile shule ni kama wamezitelekeza,lakini zilikua zinazalisha wahandisi wazuri sana. Wengi walipendelea kwenda FTC pamoja na mabo mengine, misosi ilikua motisha kubwa sana.
Unanikumbusha Iyunga guys walipenda kwenda MTC(MUST) kisa misosi.hahahahahah


Ila waliosoma tech hasa wa umeme ndio walikuwa wanapasua sana
 
Practical ya chemistry mwaka 2014 pia kupata colour change ilikua ni noma mzee mtu masaa matatu yameisha ndio et inachange
Daah halafu unajua shule nyingine wanafunzi ni wengi kwahiyo inabidi upige practical chapu upate result maana kuna kuhamishwa kupelekwa kwenye swali jingine...Mitihani hii acha kabisa mkuu,unaweza kulia kwenye chumba cha mtihani
 
Daah halafu unajua shule nyingine wanafunzi ni wengi kwahiyo inabidi upige practical chapu upate result maana kuna kuhamishwa kupelekwa kwenye swali jingine...Mitihani hii acha kabisa mkuu,unaweza kulia kwenye chumba cha mtihani
Nikiwa advance pale kibaha,nakumbula kuna jamaa mmoja mlokole hakutaka mambo ya kufoji kwamba ni dhambi!Tukaingia Prac ya physics,ilitakiwa tufanye 3!Ngoma ya kwanza ni kutafuta specific gravity ya sample liquid "x"!Kiuhalisia prac hiyo inahitaji utulivu sana na hali ya hewa iwe stable throughout the experiment!Na kwa lisaa limoja huwezi maliza ukiamua kufanya!Basi jamaa akakomaa kufanya,mpaka muda unaisha hajakusanya hata nusu ya data!Tukahamia chumba kingine,hali ikawa hivyo hivyo,hakufanikiwa kumaliza prac ya 1 na ya 2!Tulivyoingiq room ya mwisho kwa ajili ya prac ya mwisho,tuliona anavyotetemeka!Ikabidia tumwambie asifanye prac tena,tukawa tunapokezana kijanja kumpa sheet za majibu naye anakiri!Kweli alifanikiwa kucopy kutoka kwetu prac zote 3!
Tulipotoka nje tulimpiga madongo sana,tukamueleza unaweza jiharibia maisha bure eti kisa ulokole!
 
Back
Top Bottom