Nimepiga mabao sana.
1- Kulikua na paper chuo ya AutoCad, nilikua na laptop ipo kama desktop lazima iwepo kwenye chaji muda wote.. Nimekaza kufanya maswali mawili maana yalikua matatu, jamaa sijui alitokea wapi akachomoa waya wangu wa pc na nilikua sijasave.. Lilinitoka tusi moja 'kum***make' nikapiga na bao hapo hapo..
2- Nilikua napiga paper la Physics Necta Form 4, kila nikigeuza paper sioni swali la kuchomokea.. Mamaee hapo muda unakwenda msimamizi kusema imebaki lisaa limoja na hapo sijafanya hata swali moja, nikasikia kautamu kanakuja.. Kujibana wapi, nilipiga bao hadi nikasimama.. Watu wanashangaa huyu vipi, ikabidi wasimamizi waje.. Kuniuliza kulikoni, nikawaonyesha kwenye suruali nilipopigia bao... Wakabaki wakicheka tuu...!!!