Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Safi sana kijana, linda uvulana wako Trump kashaacha kutoa msaada..!!
Skuizi wanaume hatutaki kut....m....b....a wanawake ndo wanafosi, ama kweli mambo yamebadilika, itafkia kipindi wanawake wataanza kutongoza wanaume kwanguvu ili wakakunwe, maana skuizi wanaume tuko wachache kuliko wanawake afu hatushobokei Tena mambo kama hizo.
 
😂😂😂😂😂

Kwa hiyo nguvu za kijogoo hazipo saaasa.

Yaan wengine hata chupi tuu wakiona hapakaliki
Si kweli, maana skuizi k zipo nyingi afu zinaachwa wazi hadharani, wanawake wanatembea nusu uchi, wengine uchi kabisa tusha zoea kuwatizama mpaka tushazikinai, twaona hakuna jipya Tena. Hata kudinda inakua ngumu, mpaka ufosi.
 
Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi
Woote wanao lalamika humu kuwa hawapendi WATU VING'ANG'ANIZI wakiongozwa na wewe ni kwa7bu hamjapenda mtoto wa mtu ile ki kwelikweli.

Ila KUMBUKENI kuwa hata nyie kwa wapenzi wenu hao hao mnao wapenda pia na nyie mnaonekana kuwa ni ving'ang'anizi vilevile, tatizo ni kwa7bu hao wapenzi wenu hawalalamiki kwa watu wenye ukaribu na nyinyi ndo maana hasikii malalamiko kama yenu.
 
Well said mkuu
 
Mzee wangu na kaka yangu Kiranga.

Possibly unadanganywa. Hamna mapenzi ya namna hiyo Zama hizi za mama Samiyyaa. Shutka bado mapema kabla hapaja kucha...
Kama ananidanganya anacheza na voicemail tu.

Hata sauti yangu haisikii, hata kwenye voicemail. Maana sijarekodi sauti yangu hata kwenye voicemail.

Famasiala.
 
Back
Top Bottom