Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

KIukweli mie huwa naona raha ipo pia yote kwa yote huwa najikuta nakuwa na amani iliyopitiliza.
Na mimi najua, ndiyo maana namuacha mpaka analala hapo hivyo hivyo.

Yani nishaelewa kuwa hicho ni kitu muhimu kuliko maelezo kwake, mimi naweza kukichukulia poa, lakini kwake ni muhimu sana.

Kwa hiyo hata kwa ku sacrifice comfort yangu nipo tayari nimridhishe yeye ajisikie vizuri tu.
 
Nilipendwa hadi nikawa naona nachefukwa,
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa

Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi

Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.

Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.

Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Nilipendwa hadi nikawa nachefukwa, yaan usipopokea mtu ananuna, kila dakika unauliza unafanya nini, mara umekula mara umeamka mara karibu chai yaaani utajuta jamanii
 
Alivyofariki Michael Jackson akiwa na miaka 50, Wamarekani walilalamika wakisema "Jamaani, mbona kafariki bado mdogo saana?"

Mimi sijafikisha hata hiyo 50, Watanzania wananiambia "Umeshapitwa na wakati..."

Haya ni matatizo ya umasikini na ushamba tu.
Mkuu,

Sisi huku 45 tuu wewe ni mzeee, yaan full kuchakaaa.

Miaka hamsini majaaaliwa😂😂😂

At 50 hata nguvu zitakuwa zimeisha kibongo bongo
 
Mimi hata hamu ya mapenzi Sina, hata mwanamke akija chumbani uchi naweza nisimfanye kitu na nikamtoroka, mapenzi yamehamia kwenye pesa. Nina mapenzi na pesa, napenda pesa, pia napenda pesa zangu
😂😂😂😂😂

Kwa hiyo nguvu za kijogoo hazipo saaasa.

Yaan wengine hata chupi tuu wakiona hapakaliki
 
Back
Top Bottom