Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Mimi huwa siwaachi,ila mwsho wa siku huwa wanaelewa utaratibu wang wanakaa kwenye mfumo na maisha yanaendelea

Mimi nilichelewa sana kuwa kwenye mapenzi kwahyo mambo za kupigiana sm sana na kukutana kupiga story nilikuwa sizijui au kwamba nilazima kumpigia mpenz wako kila siku nalo nilikuwa sijui
 
Kuna huyu anaenitongoza mpk hapa ameshakuwa unqualified.. yaani ana kera hajali hata umelala saa 7 anapiga Simu.. muda wa kazi masimu ma sms kama ananidai figo yake..

Hayo mapenzi ni ya under 25 sie wazee hatuyawezi masimu ma sms kama nina damu yake siweziii
Afu unakuta msg zenyewe niambie my,umekula,umelala,umeoga...mara unafanya nini saizi...unaona kabisa hapa hakuna mpenzi bali nimekutana na useless fellow😏
 
Yani hapa nimeandika tu, nimeangalia voicemail, nimekuta voicemails tatu.

Ya kwanza.

"Hey, I miss you. I don't ache a lot, but I miss you..."

Alishawahi kuniambia ananimiss mpaka ina ache.

Kwa nini hawezi kunisahau akaendelea na maisha yake tu?
😄😄😄😄 siku mkizinguana atasahau kama aliwahi fanya huo ujinga
 
Back
Top Bottom