Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Miaka michache iliyopita, kulikuwa na mdada mmoja mtaani kwetu alikuwa ananipenda kweli na alijuwa kabisa mimi ni mume wa mtu, alijitahidi mpaka akaja kujuwa nafanya kazi wapi. Katika yote haya mimi nilikuwa sijuwi kama ananipenda kwani nilikuwa sina mazoea naye kivile kwani kila nikimsalimia alikuwa ananiangalia tu na kunijibu pale anapojisikia, awali nilidhani ana dharau ila sikumtilia maanani na wala sikumjali. Nilishangaa siku ya siku nipo kazini naitwa na mlinzi, ananiambia una mgeni ghorofa ya chini anakusubiri, kumuuliza ni nani kwani nilikuwa sipendi watu waje kunitembele kazini, akaniambia tu kuna mwanamama anadai ni shangazi yako. Nilipanic mno na kwenda chini, ile nashuka tu nakutana na huyo mdada jirani yangu kapendeza kama vile anatoka kwenye interview ya kazi. Namsogelea kujuwa kulikoni, nashangaa ananikumbatia na kunibusu shavuni as if tunajuana kinoma....kwa kweli nilishangaa sana na kuanza kuona haibu kwani nilikuwa sina mazoea naye.

Tukaenda sehemu ya wageni, tukakaa pale na mdada akaanza kujinadi na kumwaga sera zake za uchaguzi kwangu. Anaongea huku anatetemeka, nikamuelewa na kumpa masharti yangu akayakubali so tukayajenga. Kesho yake nikaanza kuvamia jimbo lake na kuanza kula mzigo kama mpiga kura wake halali na akawa anataka kila siku kabla ya kurudi nyumbani nipitie kwake nimle kisha niende nyumbani na wakati mwingine alikuwa anataka nilale kwake mpaka nikawa nahisi anataka kunivunjia ndoa yangu. Nilipoanza sasa kupunguza kumla kwa fujo akawa ananiwinda na mpaka akaja nyumbani na kuanza urafiki na mke wangu. Sikupendelewa na hili kwani mke wangu naye alishangaa huyu mdada kunijuwa kinoma. Nikampiga marufuku huyu mdada kuja nyumbani, hakupendezwa na hili so akawa ananifuata kazini na kudai atanisubiri mpaka kazi iishe tukakulane na alikuwa ananiambia kabisa hawezi kulała bila kumpa chakula cha roho. Basi hiki chakula cha roho kilikuja kumchanganya akili huyu mdada mpaka akawa sasa anamtambia mke wangu huko mitaani kuwa yeye (hawara) ndiye mke halali kwangu na mke wangu ni suala la muda tu eti nina mpango wa kumwacha.

Aliaminisha watu mtaani mpaka kina Mama wengine walikuwa wakiniona walikuwa wananiambia nimuonee huruma mke wangu na wakawa wanasema mbona mnapendana na mnaendana iweje nimwache mke wangu kwa jailli ya changudoa kama yule? Baada ya kuuliza kulikoni ndipo nikaambiwa kuwa yule mdada anatangazia watu kuwa nina mpango wa kumwacha mke wangu kwa ajili yake. Pale mtaani karibia kila mtu alikuwa anajuwa mimi namla yule mdada japo sijamtangazia mtu yeyote.

Nikakaa kama siku mbili hivi bila kuwasiliana na yule mdada maana nilikuwa na hasira naye na kazini alikuwa haji kwani nilishamkatazaga. Cha kushangaza bwana, siku moja tupo nyumbani tunaangalia Champions League na mke wangu na baadhi ya mashemeji zangu, nashangaa saa tano usiku mtu anabonyeza kengele getini, ile nafungulia mbwa na kwenda kuangalia ni nani namkuta yeye, wacha aangushe varangati pale pale getini. Nilimzaba vibao ili anyamaze lakini wapi kwani alipiga mayowe eti nabakwa jamani naomba msaada, huyu mtu ananibaka. Ndani ya dakika 10 watu walijazana mno pale getini, basi yule mdada akamwaga mboga na kusimulia watu kila kitu juu ya uhusiano wetu. Yaani nilikoma jamani ila naishia hapa kwa sasa kwani bado nina mdachungu na yule demu.
Duh pole hali ya wife ikoje?
 
Dawa ya machizi,
Ugonjwa wa warembo,
Paparazzi na skendo,
Mabinti wanashow mapendo.

The most versatile rapper ever- Ngwair.
 
Kuna binti kalinipendaga mpaka ilikuwa kero saa 1 asubuhi natoka getini kwenda job namkuta ananisubiri,kuna siku alinisindikiza mpaka kazini,nikirudi saa 1 jioni namkuta njia ya kuingia home ananisubiri hapo sijaongelea kunipigia simu mara kwa mara ananipigia anasema anatak kuisikia sauti yangu,kwa kweli ilikuwa kero kuna kipindi nikitoka home kwenda kazini na kurudi home nikawa natumia geti dogo ili nimkwepe,yeye alikuwa ananisubiriaga geti kubwa,alipoona sionekani akamuuliza houseboy mbona sionekani House boy ananichomea kuwa siku hizi napitia kwenye geti dogo jamaa aliniuzi sana,nilikuwa nimeshamwambia asimuambie yule demu kuwa napitaga geti dogo
 
Ilishainitokeaga hivyo nikaona huu mtoto sitoweza nikapiga chini chap
 
Hiyo ya kulala kwenye kifua haina tatizo.

Tatizo mimi naona kuwa mtu hawezi kuwa kalala katika position moja, sasa mwanamme ukitaka kujigeuza kidogo tu unakuwa umemuamsha.

Na yeye hakubali kulala bila ya kulalia kifua, ukikaa naye mbali sentimeta mbili tu tayari ugomvi 😂😂😂
Hii hatari😅
 
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa

Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi

Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.

Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.

Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Huyo kaka bwn
Ilikuwa akituma text sa 12
Nikijibu sa 4/6 flani ana'mind
Nikisafiri shida,nikiomba hela shughuli, nnachovaa mtiti, nikiangalia watu hapendi inshort i was sufffeeering
Mwishowe akasitisha mahusiano mwenyewe akisema simpendi(anatikisa kiberiti hapo) aloo alikuta kimejaa nilikimbia mbio sikutizama nyuma alivyoona nimeyeya karudi ohh nilipanic sana am sorry turudiane...was like which,wheree,when...howww???!

Sasa nina husiano unatext/call muda unataka kelele na suffocation utu uzima huu nani anataka!??
Em nilale kwanza
 
Back
Top Bottom