Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Vipi ushampata wa kukupa pesa? 😹😹
Au ndio yule akijisikia kukuzagamua anakuita na kukubebisha 🤣
Daah natamani nikutumie screenshot yule kaka ananililia siku hizi na nipo nachart nae hapa ananiuliza why nimebadilika why namu ignore sijui nimsamehe

mamtu ukweli nilipata mwingine na sasa nina enjoy hela siombi napewa

Aiseee mtu akikupenda hutumii nguvu.. sema karoho kanauma maana niliemtarajia anipende hivi sio

Anywy mimi pia sipendi mahusiano ya kutafutana kama tunadaiana🥹🥹
 
Mkuu,

Nyinyi umri ulishawatupa mkono...

Bado tuu mnang'ang'ana...
Zamu ya watu wa elfumbili
Hapana,

Wewe labda unaishi kwenye nchi ya watu masikini wanaozaliana sana ambayo ina watoto wengi halafu watu wanakufa mapema, kiasi kwamba hata watu ambao umri haujawatupa mkono unasema umri umewatupa mkono.

Hayo ni matatizo ya ushamba na umasikini.
 
Hiyo ya kulala kwenye kifua haina tatizo.

Tatizo mimi naona kuwa mtu hawezi kuwa kalala katika position moja, sasa mwanamme ukitaka kujigeuza kidogo tu unakuwa umemuamsha.

Na yeye hakubali kulala bila ya kulalia kifua, ukikaa naye mbali sentimeta mbili tu tayari ugomvi 😂😂😂
Kuna kipindi miaka ya nyuma nilikuwaga hivi ila ikafikia hatua nikaacha mana naona kabisa niliye naye anakereka ila ndo hana namna. 🤣

Kwa sasa siku moja moja ndo nakumbishia japo kama usemavyo muhusika akigeuka tu mtu ushaamka. 😃😃
 
Sasa pale kuna raha gani kujibandika kwenye kifua cha mtu kama mtoto anayenyonya?
 
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa

Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi

Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.

Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.

Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03

View: https://www.youtube.com/watch?v=IqihtVXJK84
 
Huu sasa ni zaidi ya usumbufu 😹😹
Hapo mmoja kapenda, mwingine anaosha rungu…!! Uhuru umezidi Waingereza waje wauchukue uhuru waliotupa…
Mimi hata hamu ya mapenzi Sina, hata mwanamke akija chumbani uchi naweza nisimfanye kitu na nikamtoroka, mapenzi yamehamia kwenye pesa. Nina mapenzi na pesa, napenda pesa, pia napenda pesa zangu
 
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa

Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi

Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.

Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.

Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Vina mudaa
 
Back
Top Bottom