Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Woote wanao lalamika humu kuwa hawapendi WATU VING'ANG'ANIZI wakiongozwa na wewe ni kwa7bu hamjapenda mtoto wa mtu ile ki kwelikweli.

Ila KUMBUKENI kuwa hata nyie kwa wapenzi wenu hao hao mnao wapenda pia na nyie mnaonekana kuwa ni ving'ang'anizi vilevile, tatizo ni kwa7bu hao wapenzi wenu hawalalamiki kwa watu wenye ukaribu na nyinyi ndo maana hasikii malalamiko kama yenu.
tofautisha kupendwa kupitiliza mpaka unahisi ni kero na uking'ng'anizi. Mtu king'ang'anizi ni yule penzi lishakufa yeye bado anataka,mtu humtaki bado hachoki kukutafta, kupendwa mpaka kero ni ile mpendwa nae anapenda ila ile mtu anakutafuta,anakufanyia jambo ambalo si muhimu na unahsi ni kero. Back to your reply, huenda na wewe dem wako yumo humu anasema mtu wake anampenda mpaka kero ambaye ni wewe.
 
tofautisha kupendwa kupitiliza mpaka unahisi ni kero na uking'ng'anizi.
Neno KING'ANG'ANIZI umelielewa tofauti na nlivyo maanisha mm.

Ww pia ni KING'ANG'ANIZI kwa mpenzi wako ndo maana humwachi, ivo ww na mpenzi wako wote ni VING'ANG'ANIZI ndo maana mpo pa1.
 

Attachments

  • images (5) (7).jpeg
    images (5) (7).jpeg
    21.3 KB · Views: 16
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa

Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi

Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.

Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.

Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Utapiga chini kila mwanamke
 
Back
Top Bottom