Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,034
- 153,785
Uzee? Ulishawahi kunipa nikashindwa?Hivi na uzee huo hujaoa khaaaa
Uzee? Ulishawahi kunipa nikashindwa?Hivi na uzee huo hujaoa khaaaa
😂😂😂😂Hela inanifikisha mawenzi, na inakata kiu ya vitu vyote.
😂😂😂😂😂😂
Kwa majibu haya ni dalili za kukosa busara kulingana na umri wako hustahili kutoa majibu kama hayaUzee? Ulishawahi kunipa nikashindwa?
🙌🙌🙌🙌🙌 Ngoja nifuturu kwanza mkuuUmeelewa point yako ya complexity ni ya kuonesha Mungu hayupo, si ya kuonesha Mungu yupo?
Final uzeen we haya🤣🤣🤣🤣Sisi ndio KATAA NDOA Ila tumezalisha watoto...just a joke 🤣
Kwani nani kakwambia mimi nina busara au ninataka kuonekana kuwa na busara?Kwa majibu haya ni dalili za kukosa busara kulingana na umri wako hustahili kutoa majibu kama haya
Unaulizwa vingine unajibu vingine
Mapenzi ya kugandana sanaa kuna kipindi yanatesaHiyo ya kulala kwenye kifua haina tatizo.
Tatizo mimi naona kuwa mtu hawezi kuwa kalala katika position moja, sasa mwanamme ukitaka kujigeuza kidogo tu unakuwa umemuamsha.
Na yeye hakubali kulala bila ya kulalia kifua, ukikaa naye mbali sentimeta mbili tu tayari ugomvi 😂😂😂
Mzee wa hall V, kwani no angu unayo?😂😂😂😂
Oky ngoja nikufikishe kileleni Kwa kutumia pesa
Kwani nani kakwambia mimi nina busara au ninataka kuonekana kuwa na busara?
Busara ni nini?Kwa mtazamo wako Unaweza kuwa sahihi hayo ni juu yako
kwa bahati mbaya sana ni ngumu, nina kila sifa inayoitajika kung'ang'aniwa na dem pamoja na kuwa sio wote, na hao ambao sio wote sina time nao.Ulimuonea, subiri na wewe zamu yako itafika ya kunyanyasika.
Hayanaga ujanja hayo.
Ukiwa haujapatikana, ni kama hivi utajisifia ubabe😁😁😄😄.
Wewe mzee hujui busara ni nini???Busara ni nini?
Wewe unanipenda sana lakini hatuelewani.Wewe mzee hujui busara ni nini???
nikupe maana ili uanzishe hoja zako???
Unazungumzia kukupenda kwa namna gani mzee kirangaWewe unanipenda sana lakini hatuelewani.
Hujui hata Socratic Method ni nini, tutaongea nini?
Mzee? Ulinipa nikashindwa?Unazungumzia kukupenda kwa namna gani mzee kiranga
Unauhakika sijui hicho unachokisema